Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Yanga ipi, safari hii mmebanwa hakuna kununua mechi na wanaowauziaga mechi leo hawapo, leo mtatema ulimiyanga ya ukweli
Yanga ipi, safari hii mmebanwa hakuna kununua mechi na wanaowauziaga mechi leo hawapo, leo mtatema ulimiyanga ya ukweli
Yanga ipi, safari hii mmebanwa hakuna kununua mechi na wanaowauziaga mechi leo hawapo, leo mtatema ulimi
Naombeni link ya radio yoyote wanayotangaza mechi hiyo please, and mechi inaanza saa ngapi kwa saa za Tanzania??
What a gift! Chelsea 3 Arsenal 4
sikiliza redio tanzania
What a counter attack! Chelsea 3 Arsenal 5.
Arsenal wameanza kuzinduka....[/QU Hili ndo tatizo la wabongo. Wataalamu wa kuchanganya. Thread ya ligi ya tz watu wanaongelea ligi ya Bpl. Shame on u
Jamani au hakuna mechi leo nn? Maana watangazaji wote wa jf 'wameshepa' wengine tupo nje ya mipaka ya bongo tunaitegemea jf kupata updates kama kunawadau wanafwatilia huu mtamange waendelee kutujuza, haijalishi hata kama mkifungwa c tutawapa pole, hatutawcheka promise