ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Victor Costa ni kama vile Cares Puyol.
mmmhh huo mlinganyo nimeupenda..
Victor Costa ni kama vile Cares Puyol.
Bado Simba wanaongoza kwa goli moja.updates zaidi vipi wadau!?
huyu jamaa ni mzito sana!!Victor Costa ni kama vile Cares Puyol.
Asante MasukeEmmanuel Okwi.
Victor Costa ni kama vile Cares Puyol.
Full time: Simba 1-0 Mtibwa.
Ni mchezaji gani aliyekosa penalty? Itakuwa ni mara ya pili mnyama anakosa penalty. Something must be done.
Pamoja na yote...HONGERA SIMBA, DAIMA MBELE! TUANGALIE MBELE KWENYE MECHI ZIJAZO. Tusirudie kosa.
kila mara simba inakosa penalti....kocha afanyie kzai[/QUOT
kweli mkuu afanyie kazi mwaka jana emanuel Okwi alitukosesha goli la penati KUPATA UCHAPIONS