Rashid mohamed
Member
- Sep 4, 2011
- 6
- 5

Mbona leo kimya kabisa jamani, najua kuna games zinaendelea za ligi...?

dah! Nikweli ndugu, hebu tupeni matokeo ya michezo ya leo hasa yanga simba na azam, msaada kwenye tuta,

Mbona leo kimya kabisa jamani, najua kuna games zinaendelea za ligi...?
Simba1:Villa 0

Nzuri mkuu Bemg, tupe update ya matokeo ya Mnyama.

Mpaka sasa Simba 1 villa 0,mfungaji Kago,

Yanga 0 Mtibwa 0,dk 45 kpnd cha kwanza.

Na Simba je?? au dk. 90 bado?
simba kashinda 1 na yanga katoa sare ya bila kufungana...Na Simba je?? au dk. 90 bado?

simba je?
Hii ligi inaboa sana yaani TFF inazipangia yanga na simba matokeo, kabla ya mechi za leo zote zimecheza mechi 2 wakati timu nyingine zimecheza mpaka mechi 5. huu ni uonevu kwa timu ndogo namna hii wanaua ushindani. Hawaoni ligi za ulaya mfano Hispania? hebu tujifunze tuweze kucheza soka lenye ushindani. Tunalalamika timu zetu hazifanyi vizuri hivi ni baadhi ya vikwazo vinavyodumaza soka. Nawasilisha
mechi ya azam haikuchezwa, uwanja ulikuwa unatumika kwa shughuli nyingineMbona ligi hii yatajwa matokeo ya Simba na young tu timu nyingine hazichezi tarehe hii?kuna game kama

Police Dom vs Ruvu Shuting

Jkt Oljoro vs Azam Fc

Coastal Union vs Moro United

matokeo please
Bongo bana,wameshaanza kuchezea gwaride nini huko Chamazimechi ya azam haikuchezwa, uwanja ulikuwa unatumika kwa shughuli nyingine
Yanga wakishuka daraja ndio utakuwa mwisho wa ligi yenyeweLigi ikiisha leo Yanga wanashuka daraja loh