Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
simba 1 costal union 0 dk 25 mfungaji mafisango. toto 0 jkt ruvu 0 dk 10
 
sasa ni kipindi cha pili, je wekundu wa msimbazi wanaendeleaje huko tanga wanasimba wenzangu. Yanga msichukie kama anaongoza ama vipi nijulisheni tu kwani hayo ni mambo ya uwanjani tu.
 
Mpira umekwisha yanga 1 na Moro 1..habari ndiyo hiyo....adui yako muombee njaa
 
Mpira umekwisha yanga 1 na Moro 1..habari ndiyo hiyo....adui yako muombee njaa
<br />
<br />
Naona wameanza kuzinduka, baada ya kufungwa mechi tano mfululizo leo wametoa draw mechi inayofuata wanaweza kushinda hongera watani yebo yebo.
 
Simba hatua 6 mbele na Yanga hatua 1...
 
Back
Top Bottom