Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

• Total voters
72
• Poll closed .
Bongo bana,wameshaanza kuchezea gwaride nini huko Chamazi
hii mechi inachezwa Arusha na jana kulikuwa shughuli za kidini ambao walishaomba kibali tangu mwezi wa saba..mechi hii itachezwa leo yaani oljoro na azam..

Mpira umekwisha Oljoro 1 na Azam FC 1...kocha wa Azam kakasilika kweli sijui kafanywa nini na mchezaji wa Oljoro alitaka kuzipiga....kweli hii ni bongo

mpira umekwisha yanga 1 na Ruvu 1..yanga angalieni msishuke daraja..lol

yanga 1 na Ruvu shooting 1...
Kwa kweli kiwango cha Yanga kipo chini sana.....

Timbe sijui atatoa sababu gani leo maana mwanzo alianza kusema majeruhi wengi,walipopona ikaja sababu ya kiwanja(cha Jamhuri) ni kibaya/kibovu.....Haya leo wamecheza Taifa na kutoka sare sijui atatoa sababu gani hata....

Watani poleni, karibuni msimbazi kuna nafasi bado zipo mnaweza kuwa washabiki kwa muda wakati timu yenu inatengemaa, mnatia huruma mmecheza mechi tisa bila ushindi.

mpira umekwisha yanga 1 na Ruvu 1..yanga angalieni msishuke daraja..lol
Kushuka daraja haiwezekani,sema wasije wakapoteza ubingwa.....

Nina uhakika watabounce back mara tu watakapowalipa wachezaji na lile bundi la klabuni litakapoondoka....

kuweni serious wadau,kweli yanga imedroo tena au mnazingua,duh kama n? Kweli kaz wanayo mwaka huu

Mkuu CPU nakuona upo lakini uko kimya, pole sana mkuu.

Kushuka daraja haiwezekani,sema wasije wakapoteza ubingwa.....

Nina uhakika watabounce back mara tu watakapowalipa wachezaji na lile bundi la klabuni litakapoondoka....

Yanga ina matatizo makubwa ya Uongozi. Na ni jeuri ya lile kundi lililopewa madaraka na mahakama. Coz wameunda uongozi wao na ndo wanadai wanaendesha klabu.

Kwa kweli kiwango cha Yanga kipo chini sana.....

Timbe sijui atatoa sababu gani leo maana mwanzo alianza kusema majeruhi wengi,walipopona ikaja sababu ya kiwanja(cha Jamhuri) ni kibaya/kibovu.....Haya leo wamecheza Taifa na kutoka sare sijui atatoa sababu gani hata....
pamojasana mzee wa busara..

Kushuka daraja haiwezekani,sema wasije wakapoteza ubingwa.....

Nina uhakika watabounce back mara tu watakapowalipa wachezaji na lile bundi la klabuni litakapoondoka....

Yanga ina matatizo makubwa ya Uongozi. Na ni jeuri ya lile kundi lililopewa madaraka na mahakama. Coz wameunda uongozi wao na ndo wanadai wanaendesha klabu.

Mkuu CPU nakuona upo lakini uko kimya, pole sana mkuu.

Nipo kaka, si unajua tena mkuu mambo ktk tim yetu si mazuri hata kidogo. Kuna watu wanavuruga klabu saa hiz wafaidishe matumbo yao baada ya kuona timu ina mwelekeo wa mafanikio baada ya Kagame kuisha, sa hiz wachezaji hawajitumi.

Back
Top Bottom