Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
goooal, dakika ya 45 kagera wanapata goli la kusawazisha..
 
Kagera inabidi iangalie ni wapi inajikwaa; droo zimeitawala mno.
 
Mbona leo kimya kabisa jamani, najua kuna games zinaendelea za ligi...?
 
Mpaka sasa Simba 1 villa 0,mfungaji Kago,
Yanga 0 Mtibwa 0,dk 45 kpnd cha kwanza.
 
shukran mkuu, leo kimya kabisa sijui sababu ya Ngeleja, wikilinks au kila ntu yupo Igunga...??
 
shukran mkuu, leo kimya kabisa sijui sababu ya Ngeleja, wikilinks au kila ntu yupo Igunga...??
<br />
<br />
Mkuu watu kimya kwa sababu mechi ya Yanga hakuna kipya hadi sasa na ya Simba haitangazwi hadi mtu asubiri wanaotangaza mechi ya Yanga na Mtibwa ndo wajue matokeo, hadi sasa Yanga 0-0 Mtibwa na ya Simba na Villa sijapata update nadhan itakuwa bado Simba wanaongoza kwa goli moja.
 
hapa utasikia tu mtibwa moja na mpaka sasa yanga bado akijaeleweka.

mwape ameshapata njano..
 
...yebo yebo bana, kelele mingi na hasa waandishi wao ! Jana maandishi makubwa, eti sasa timu safi na kocha anasema dk 10 tu za mwanzo washambuliaji wao watakuwa wameshamaliza kazi..!! Wasiposhinda leo, Timbe labda atangulie kutoka na gari la riziwani... lol
 
Back
Top Bottom