Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Watani poleni, karibuni msimbazi kuna nafasi bado zipo mnaweza kuwa washabiki kwa muda wakati timu yenu inatengemaa, mnatia huruma mmecheza mechi tisa bila ushindi.
kesho mkuu tuna wako wachezaji wetu 2 mhimu na mechi ya mwisho kucheza na azam walitufunga goli 3..je kesho unasemaje tutatoka..
 
kesho mkuu tuna wako wachezaji wetu 2 mhimu na mechi ya mwisho kucheza na azam walitufunga goli 3..je kesho unasemaje tutatoka..

Kama kikosi kitachoanza kitakuwa, Kaseja golini, namba mbili Cholo, beki wa kushoto Maftah, kati wakae Costa na Nyoso, Santo namba sita, Mafisango namba nane, Haruna Kumi, Ulimboka kumi na moja, Kago tisa, Saba akacheza Uhuru au Shija Mkina; Ushindi ni lazima.
 
Poleni Yanga tulieni na Kocha afanyie kazi timu iwe inafungua uwanja kwa kupeleka mashhambulizi mbele vinginevyo mtashuka daraja mwaka huu.Kesho tunawakaribisha U/T mshabikie wekundu wa msimbazi
 
Nimemsikiliza Sendeu kwenye kipindi cha michezo cha radio one, leo kisingizio ni mwamuzi, jamani mliokuwepo uwanjani mtujuze kweli mwamuzi kaiua Yanga leo?
 
Nimemsikiliza Sendeu kwenye kipindi cha michezo cha radio one, leo kisingizio ni mwamuzi, jamani mliokuwepo uwanjani mtujuze kweli mwamuzi kaiua Yanga leo?
<br />
<br />
sio uongozi..
 
CPU timu yako ni maneno tu mpira hakuna, na hii inaziirisha ni kwa jinsi gani Kagame Cup ilibeba kwa kubahatisha tu; hao akina Mwape, Asomoah wamezeeka msipo angalia mtaendelea kushika mkia.
 
Mechi ya Simba na Azam imeisha na matokeo ni sare ya bila kufungana.
 
Wakuu siku hizi sijui vipi, naona mashamsham ya games yamepungua sio kama zamani. Leo najua mnyama yupo porini chamazi kufukuzana na akina Zombe...?

Tupeni raha badala ya kusubiri dk za mwisho....
 
tupeni updates jamani mnaofuatilia mechi ya leo
 
Chamazi hakuna mtu jamani??? Hata wanaosikiliza redioni imeshindikana kutushirikisha?
 
Bora point kuliko mikono tupu.Kwa matokeo haya Simba inazidi kujikita kileleni na points13
 
..Hivi kompyuta nyingine ni vimeo au watumiaji ? Unauliza matokeo wakati post kabla yako ina jibu..!!
 
Back
Top Bottom