tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,949
- 25,327
Angalia game alizocheza Kaseja na alizocheza Dida,leo naskia goli la kwanza katoa boko
Yondani ndiye katoa boko, sio Kaseja. Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa?
Angalia game alizocheza Kaseja na alizocheza Dida,leo naskia goli la kwanza katoa boko
Azam nao wakishuka hapo Sokoine lazima watulizwe.
hivi wazo la kumsajili kaseja lilitoka kwa nani?
Itakuwa poa sana mkuu.
Yondani ndiye katoa boko, sio Kaseja. Mbona unakuwa mgumu wa kuelewa?
Na refa kawasaidia ...tulienda mkwakwani tukapigwa mkatuzodoa haya sasa kazi kwenu watoto wa manji
yondani kauza gemu
mkuu huwezi kuzirudisha kidogo zikawa hata dk 60dk 80 mgmbo 2 - 1 yanga
hivi wazo la kumsajili kaseja lilitoka kwa nani?
Leteni utamu wadau. Binafsi nipo safarini hivyo radio ama tv kusiliza ni ngumu. Naipenda JF maana kama nipo live na mimi vile.
mkuu huwezi kuzirudisha kidogo zikawa hata dk 60