Mgambo wanapata penalt, kelvin yondan kamshika mtu kwenye box.
Hf hapa mbeya mcc1-prison0
leo yanga anakufa tu gooooooooog
mgambo 2..
Dakika 77.
Mgambo 2:1 Yanga.
Mgambo 2-1 Yanga.
Kagera S 0-0 Ruvu S "HT"
Mbeya C 1, TZ Prisons 0, "HT"
Mgambo JKT 2 - 1 Young Africans
Azam 2, Simba 1.
Nipo zenji..mashabiki wa simba niliokaa nao hapa, wanafurahia kufungwa! ili mradi yanga awe ktka mazngra magumu, wanasahau misimu inakatika timu yao haichezi mechi za kimataifa.
du kweli leo hali imetukalia vibaya!!
Kaseja ana nuksi sana na Yanga
Asante, marekebisho kidogo ni HT sio Hf.
kwamba simba imepoteza muelekeo kama man u!ashinde asishinde atabaki kuwa nafasi ya 4!logaloga amewekeza kwenye mechi ya yanga!Mkuu kwani Simba akimfunga Azam atacheza mechi za Kimataifa??
Ukweli ni kuwa Simba hana cha kupoteza, ashinde au asishinde...Sana sana atakuwa na cha kupoteza akishinda maana anaweza jikuta kambeba Yanga kuelekea ubingwa....aaaghh acha tufungwe kuliko Yanga awe bingwa
Ni kweli hatuna cha kupoteza lakini angalau basi tuishie nafasi ya nne, maana kwa hali hii kuna hatari ya kuporomoka hadi ya tano au ya sita.Mkuu kwani Simba akimfunga Azam atacheza mechi za Kimataifa??
Ukweli ni kuwa Simba hana cha kupoteza, ashinde au asishinde...Sana sana atakuwa na cha kupoteza akishinda maana anaweza jikuta kambeba Yanga kuelekea ubingwa....aaaghh acha tufungwe kuliko Yanga awe bingwa