dk 80 mgmbo 2 - 1 yanga
Mgambo lete raha!
dk 80 mgmbo 2 - 1 yanga
Ndomyana upo kimya sana! Tupe matokeo huko!
kama ningekuwa nafasi ya kushirikishwa katika maamzi toka ile mara ya kwanza asingekuja yanga!mkuu huwezi kuzirudisha kidogo zikawa hata dk 60
mkuu huwezi kuzirudisha kidogo zikawa hata dk 60
Hapa kimeshaeleweka,ngoja nisubirie tena ya Liverpool.
mkuu huwezi kuzirudisha kidogo zikawa hata dk 60
hazirudivtena ni
dk 85 mgambo 2 - 1 yanga
mechi ya yanga vipi?
natamani ningekuwa simba mkuu maana nyie maumivu mlishayazoea!Hahahaaah....pole sana mkuu
mechi ya yanga vipi?
mkuu nikajua simba 2 kumbe dakikaazam na simba 2 zimeongezwa
natamani ningekuwa simba mkuu maana nyie maumivu mlishayazoea!