Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Leo ndo leo! pale taifa na mkwakwani.
Azam tunampakata mnyama,Yanga wanadraw na Mgambo.
Fuatilia via AZAM TV,TBC TAIFA NA JF.
Mkuu ungetuwekea updates kwenye huo uzi wako wa mwanzo.
Leo ndo leo! pale taifa na mkwakwani.
Azam tunampakata mnyama,Yanga wanadraw na Mgambo.
Fuatilia via AZAM TV,TBC TAIFA NA JF.
Kaseja mzigo
Halafu kila siku mnalialia TFF majanga.kwa mawazo hayo hata Rais wa TFF awe baba yako mzazi soka letu litaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu.Simba team, hebu achia mabao mengine 4 ili fainal scores ziwe 5-1, vinginevyo yeboyebo watachukue kombe. Sisi Simba hatuna cha kupoteza, waachie tu Azam watufunge goli nyingi kadri watakavyoweza ili tuwatibulie yeboyebo. Kwanza ilitakiwa tufungwe hata goli 6-0 kama Arsenal. Ni nani huyo mjinga aliyejipendekeza kufunga hilo goli la Simba?
Ni kweli hatuna cha kupoteza lakini angalau basi tuishie nafasi ya nne, maana kwa hali hii kuna hatari ya kuporomoka hadi ya tano au ya sita.
hivi wazo la kumsajili kaseja lilitoka kwa nani?Ndo kanikimbiza yanga mkuu.
nimeamua kutulia na mbeya city.
Ndo kanikimbiza yanga mkuu.
nimeamua kutulia na mbeya city.
dk 70 mgmb 2 - 1 yanga
Kaseja ndiye anayetakiwa kuifungia Yanga magoli? ila Bahanuzi ndio ana bahati na Yanga?
Halafu kila siku mnalialia TFF majanga.kwa mawazo hayo hata Rais wa TFF awe baba yako mzazi soka letu litaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu.
Masikini simba....
Hatushuki mkuu, kwa Yeboyebo yenyewe tuna point zetu....ila kiukweli kimoyomoyo inauma kumaliza nafasi ya tano au sita lakini inauma zaidi kuwa mgongo wa Yeboyebo kutwaa ubingwa
Kwa nini muda wote mnakaa mnamlaumu Kaseja wakati makosa yote kafanya Yondani?hivi wazo la kumsajili kaseja lilitoka kwa nani?