Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Yanga walipofunga tu SSc wanaachia?!

Ndio maana soka la bongo sometime linaboa, hasa hivi vitu vinavyoitwa usimba na uyanga. Tuishukuru Mbeya City kwa kutuletea aina mpya ya ushabiki Tanzania.
 
1. Juma Kaseja -29
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" -23
5. Kelvin Yondani -6
6. Frank Domayo -18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga -26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa 17
11. Emmanuel Okwi -25

Subs:
1. Ally Mustapha "Barthez" -1
2. Juma Abdul -12
3. David Luhende -3
4. Athumani Idd "Chuji" - 24
5. Nizar Khalfan -16
6. Hamisi Kizza - 20
7. Hussein Javu - 21

Asante.
 
Dakika ya 65, anaingai Hussein Javu kuchukua nafasi ya Mrisho Ngasa
 
Nipo zenji..mashabiki wa simba niliokaa nao hapa, wanafurahia kufungwa! ili mradi yanga awe ktka mazngra magumu, wanasahau misimu inakatika timu yao haichezi mechi za kimataifa.
 
Mgambo wanapata penalt, kelvin yondan kamshika mtu kwenye box.
 
Kagera S 0-0 Ruvu S "HT"


Mbeya C 1, TZ Prisons 0, "HT"


Mgambo JKT 2 - 1 Young Africans


Azam 2, Simba 1.
 
Simba kapigwa la 2

Simba team, hebu achia mabao mengine 4 ili fainal scores ziwe 5-1, vinginevyo yeboyebo watachukue kombe. Sisi Simba hatuna cha kupoteza, waachie tu Azam watufunge goli nyingi kadri watakavyoweza ili tuwatibulie yeboyebo. Kwanza ilitakiwa tufungwe hata goli 6-0 kama Arsenal. Ni nani huyo mjinga aliyejipendekeza kufunga hilo goli la Simba?
 
Back
Top Bottom