Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
..........SIMBA ikikutana na AZAM FC inabidi ikubali kuiachia Pointi zote 3 bila kikwazo ili itangaze Ubingwa Live.
 
Toka tufungwe na mgambo jkt hii timu Simba imani nayo tena na nimeshaamua kuwa shabiki mfu.
 
hawa wanajua kuchomoa viti tuu mpira hawawezi.

Hakuna wana chama mbumbu kama wa Simba-Rage
 
Last edited by a moderator:
Ashes to ashes, dust to dust, RIP Simba Sports Club.

Kwa kuwa wewe u mavumbi na mavumbini ulitwaliwa, ulale kwa amani ee Simba Sports Club, siku ya kiama utafufuliwa kwa ajili ya hukumu ya milele.
 
Mambumbumbu kwa mechi za nyumbani wanategemea kupata point 1, leo imekuwa tofauti! RAHA YA MECHI BAO!
 
Ok, ahsanteni kwa updates. kweli mwenendo so si mzuri. Heri enzi za King Kibaden & Julio
 
Back
Top Bottom