Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Vp na kule Chamanzi wazee wa lambalamba
Chamazi 0-0 dk ya 45+1
Vp na kule Chamanzi wazee wa lambalamba
Chamazi 0-0 dk ya 45+1
Hii ni nzuri ikienda hadi mwisho.
Hii ni nzuri ikienda hadi mwisho.
Yes,bcoz matokeo ya Simba na Coast hayana madhala yoyote kwetu ata wakichapana 100/100Hii ni nzuri ikienda hadi mwisho.
HT: Simba 0-1 Coastal Union.
Dk ya 14 bado bila bila.Simba wanapiga one two.mpira ni mkali sana
Mwenyekiti wao kuwa mbabe ni sababu ya asili yake!
Vp mkuu ndomyana nakuona hapa JF,au upo Mbeya kama kawaida yako?Mwee simba kwisha hbr yao
Mwee simba kwisha hbr yao
Simba haina dira wala mwelekeo! Hapo wanasubiri jitihada za mchezaji mmoja tu Amissi Tambwe awafungie goli vinginevyo Simba kwishney!!!simba imepoteza dira
Goli Linarudi Na Ushindi Ni Wetu