Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
..........SIMBA ikikutana na AZAM FC inabidi ikubali kuiachia Pointi zote 3 bila kikwazo ili itangaze Ubingwa Live.
Tunalijua hilo, kiama cha Azam ni Mbeya kwa MCC, siyo kwa Simba.
..........SIMBA ikikutana na AZAM FC inabidi ikubali kuiachia Pointi zote 3 bila kikwazo ili itangaze Ubingwa Live.
pole ndio mpira huo mkuu kesho..Toka tufungwe na mgambo jkt hii timu Simba imani nayo tena na nimeshaamua kuwa shabiki mfu.
hao azam watatupa shing ngapi tulipe mishahara
Umewaona eheee?Kumbe ndio maana wanavunja viti!!
Hahaha...
Mshakuwa rojo la Forodhani...watu wafanya kulitia bagia tu na kukamulia ndimu
Makoye Matale asante kwa kutupatia updates nzuri sana!Hahaaa,mnyama huyo!!
Tunalijua hilo, kiama cha Azam ni Mbeya kwa MCC, siyo kwa Simba.
Simba hahahaahaaa naifananisha na nccr
Acha kujidanganya mcc kwa azam ki2gani angaria vizuri ili upate kitu roho inapenda
na mpira umeisha. simba 0 coastal 1 full time
Yaani kushabikia Simba ni maumivu tu, afadhari kushabikia hata Rhino...
Yaani kushabikia Simba ni maumivu tu, afadhari kushabikia hata Rhino...
Ameeeeeeen!!!Ashes to ashes, dust to dust, RIP Simba Sports Club. Kwa kuwa wewe u mavumbi na mavumbini ulitwaliwa, ulale kwa amani ee Simba Sports Club, siku ya kiama utafufuliwa kwa ajili ya hukumu ya milele.
Uzi ufutwe tu. Hauna updates.ratiba haieleweki kabisa.
Hawa CU siwaelewi kabisa, walimbania Yanga wakatoa kwa Azam tena kwa kishindo. Leo tena wanagoma kutoa kwa Simba, sijui wana maana gani. Huenda walichukua chao kutoka kwa Azam.
Toka Mtukanwe mna mwenyekiti wenu hata timu mmeisusa.
Nimeamua kuwaanzishia uzi huu.
walioko uwanjani mtujuze,pia mnaosikiliza Tbc Taifa.
Nafananisha na Chadema