Duuh,dk 80 mambo bado magumu.kona simba wanapata
Hongera Mkuu, mnatisha!
Mkuu Crashwise bila shaka naona unaliwa SIFURI SABA MOJA TATU, sasa utamu umekukolea mpaka unaandika mambo ya ajabu, kwani jamaa ameshakupiga viwili mpaka sasa
Mkuu usirudishe muda nyuma bado dak. 3 tu gemu liishe.
Hivi mkuu sisi tukipata ushindi nyie mtapoteza nini,mbona mnatuombea ivo jamani?
Wakipeta hapo jamaa watakuwa wamechukua 'bucket'. Hakikisheni hawatoki, sasa hivi MCC ndiye mshindani pekee atakayeweza kumkalisha huyo Azam.
keep calm mr fans never ever abuse..
tutawaoneshea tu,hasa nyie Yanga wanunua mechi,tutawapa mkojo wa kutosha
Mkuu mbona matusi tena jamani wanasimba
tupeni matokeo na ni dkk ya ngapi sasa
Tumekaaaa
...nachelea kusema hapa SIMBA hatuna timu kabisa.