Hahahaaaaaa OKW BOBAN SUNZU si tunauliza jamani,maana wenzetu mna aleji na viti hasa mambo yanapoenda ndivyo sivyo!
Acheni na nyie hizo tabia za kike,michezo ni furaha,
ina mafua....
dakika ya 71 Simba 2...
Aaaa chamazi kishanuka daaaaa jamani huu mwaka wa azamu
Mkuu unaishusha heshima yako we sio wa hivo
Mkuu usiendelee kupotosha, nitabonyeza kitufe cha 'Report Post'. Matokeo ni SSC 0-1 CUSC.
teh teh teh teh teh..
Leo watashinda lakini huko Mbeya, mmmh!
azam 1 - 0 ulojo
mkuu hapa mbeya hawatoki ng'ooo, hawa lambalambaLeo watashinda lakini huko Mbeya, mmmh!
simba imenichosha kama ilivyo man u ingawa man u inachechemea
Simba kwisha habari yenu...mshakuwa ubwete!!!
acha roho mbaya mtani...