Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,727
- 4,332
Hamia Yanga wewe na familia yako.
Mkuu, pale nilitoa kijembe tu!
Tanzania nazipenda timu tano tu;
1. Yanga
2. Yanga
3. Yanga
4. Taifa stars
5. Timu yoyote inayoifunga simba.
Hamia Yanga wewe na familia yako.
Mkuu, pale nilitoa kijembe tu!
Tanzania nazipenda timu tano tu;
1. Yanga
2. Yanga
3. Yanga
4. Taifa stars
5. Timu yoyote inayoifunga simba.
Toka tufungwe na mgambo jkt hii timu Simba imani nayo tena na nimeshaamua kuwa shabiki mfu.
Nafananisha na Chadema
Kuna mtu mtaani kwetu anaumwa saa hii. Hotuba ya katiba:tape: Arsenal 6:tape: Na leo Simbwa:tape: Sasa hivi roho inafanya:flypig:
Daaa!!, kweli I see.mkuu si nilikuambia hawawezi dinda hawa?
lile neno la mwisho ulitaka kumaanisha "matakwayako" au ulidhamiria kuandika "matakoyako"Ugependa iwe fain ya shingapi labda ili kukidhi matakoyako?
Naipenda Simba bhaaaass!!!
mkuu mpaka uchaguzi ufanyike ndiyo tutarudi mchezoni hivyo nafasi ya nne inatuhusu...
Mkuu hata nafasi ya nne kuipata ni bahati, bado tuna mechi ngumu mno, Kagera Sugar, Azam halafu Yanga na Ashanti anayekwepa kushuka daraja. Kagera Sugar tumewazidi pointi nne tu halafu bado tuna mechi nao kiasi kwamba wakitufunga tu basi tumekwisha.
'Kuna siku kila mtu ataishangilia Simba' (Julio, n.d.). Hiyo siku imefika, siku Simba inacheza na Azam, Yanga tutaishangilia Simba, msituangushe tu, inshaallah mtashinda.
Samahani OKW BOBAN SUNZU,,hivi kwa mheshimiwa #Rage hamna viti?Nendeni basi mkavunje viti,si mba hasira?
Hahahaaa,,,bongo bwana mpira acheze #Tambwe ,,lawama na ku RIP awe #Rage !Hivi leo #Rage alicheza namba ngapi??
Najua hapo matusi yatakayotoka!!Ni utani tu mkuu OKW BOBAN SUNZU,,ndio mambo ya soka hayo,kushinda,kushindwa au draw!!
Yaani kushabikia Simba ni maumivu tu, afadhari kushabikia hata Rhino...
acha ushabiki maandazi mkuu,kuwa roho ya paka.kipindi cha mpito ndivo kilivo
Kama Man u tu! Itawachukua muda hadi kupata hata nafasi ya 3
AZAM,MBEYA CITY NA KANDAMBILI HAWATOACHA HIYO TOP3.