VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,099
- 2,209
[hQUOTE=Nokla;9038913]Azam 1[/QUOTE]
hawa azam mbona wanatibua mahesabu!
hawa azam mbona wanatibua mahesabu!
teh teh teh teh teh..
Shit!!!!!dakika ya 71 Simba 2...
kweli imeshuka? nitaipandisha yanga tukiwatandika 3 - 1...
bwete na wewe...
Wee chekelea. Aluta Continua!
mkuu hapa mbeya hawatoki ng'ooo, hawa lambalamba
Mkuu id yako unaishushia sana
soka la bongo inapokaribia uchaguzi mizengwe ni kawaida tuombe mungu tupate kiongozi atakae tuongoza vema siyo huyu alshabaab
ilikuwa imepanda mkapa wapi mtani...
si unonu wa ushindi tu mkuu..
Ndani ya dk 6 tunafunga 2,stay tuned