Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
teh teh wakati mtu anakufa..
Vipi chamanzi.
teh teh wakati mtu anakufa..
Makoye Matale,,vipi kuhusu viti?Hawajaanza hao tabia zao?
Poa mkuu ingawa mie nakuona hapa JF!Nipo apa mbeya mkuu nasubiria kulipoti jumamosi gemu ya mbeya cit na prison, mandieta vp habari za apo dar,. Jf inatukutanisha usichanganye mambo
Dk 60 bado 0-0
Wakuu acheni tabia za kike kushadadia matatizo ya mwenzinu
gooooo Simba 2..
Poa mkuu ingawa mie nakuona hapa JF!
Eee bana kaka nipo jf leo nafurahia mnyama kukarishwa
Wakuu acheni tabia za kike kushadadia matatizo ya mwenzinu
Mkuu Makoye Matale tunakutegemea,mende wamevamia chakula.
hiyo redio inakudanganya...
jamani sasa ni dakika ya ngapi? na mtokeo vp ngapi ngapi?
Imeanza lini kudanganya mkuu au leo kuna kavamia id yako
Hahahaaaaaa OKW BOBAN SUNZU si tunauliza jamani,maana wenzetu mna aleji na viti hasa mambo yanapoenda ndivyo sivyo!
Acheni na nyie hizo tabia za kike,michezo ni furaha,