Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,950
- 134,021
Aseno kapigwa wiki.
Yes Sir/Madam.
Aseno kapigwa wiki.
wiki ina siku 7 si 6Aseno kapigwa wiki.
Aseno kapigwa wiki.
nashukuru, even though mi siyo Madam ni Sir
Yanga mna Bartez, Chuji, Yondani, Ngasa, Okwi, Kaseja, Chuji, Dida sisi wenu tuliye naye ni Kiemba tu!
Mpira ni half time.kuna mtoto mmoja hapa ni ball girl,ana mkia wa hatari ananipotezea concetration
Ni hatari. Pole zao the Gunners.
sorry hivi Dida ni majeruhi ama?
Wakuu wangu Katiba Mpya imezingua na tunaachana na stress zake.Sasa pamoja na mimi kuwa Chalinze kwny kampeni lakini nitawalea LIVE game ya Yanga na Rhino Gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,Chuji,Yondani,Ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani.SIMBA CHUO CHA MAFUNZO.Updates!Yanga 1:Rhino 0
nenda kamkumbatie kama yule jamaa aliyemkumbatia kaka kwenye mechi ya staz na brazilMpira ni half time.kuna mtoto mmoja hapa ni ball girl,ana mkia wa hatari ananipotezea concetration
Mkuu ficha hii makitu watoto wadogo wasione. Cc BLANTANDA.Dk 89:Chelse6-0Arsenal!!!
Huyo ni under 18, Mkuu kuwa makini utaenda jela 30 years without excuse. Hiyo ndiyo Tabora, vitu vya Kanyenye.