masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,771
- 16,669
Nataman kila mtu angeshabikia timu ya mkoa wake maana mnaleua unafiki.
Mkuu endelea kutupia update tunakutegemea sana tupo mbali na hiyo mechi.kona upande wa Yanga,haari,kona tena
Mkuu endelea kutupia update tunakutegemea sana tupo mbali na hiyo mechi.
Arsenal ya wanaojiita washika Bunduki, ndo leo imeguezwa washika MAGOBOLE.Mkuu Aseno ipi?Mpira umeisha ni 6 bila.
Hadi tunakenda mitamboni mechi ya Yanga ipoje jamani, msitupe matokeo ya Arsenal yanatutia uchungu pia yanapatikana kiurahisi kwenye mtandao
FT:Chelsea6-0Arsenal!Hadi tunakenda mitamboni mechi ya Yanga ipoje jamani, msitupe matokeo ya Arsenal yanatutia uchungu pia yanapatikana kiurahisi kwenye mtandao
Angalau napoza machungu ya bao 6Rhino 0-2 Yanga (OG).
FT:Chelsea6-0Arsenal!
Dk70:Rhino0-2Yanga!
Angalau napoza machungu ya bao 6