VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,099
- 2,209
dakika ya ngapi?
Yanga nawapa dakika saba za kupata bao toka sasa.
dak. 7 neti tangu utabiri yanga wamepata bao. Mkuu unatisha.
Mkuu Box 2 na Makoye Matale inasemekana kuna kigogo mmoja hivi kawaahidi!
Ingawa tetesi zinasema huyo kigogo ni kama geresha tu but anayetoa cash ni mdau wa Azam FC!!na ata kambi ya Rhino hapa Dar kabla ya kwenda Tabora inasemekana kila jioni kulikua na gari la kambini ya Azam liki supply maziwa fresh na mikate pale kwa Twalipo JKT Mgurani walipoa wamecamp Rhino!!
Dak. 7 neti tangu utabiri Yanga wamepata bao. Mkuu unatisha.
ashindwe na alegee, simba alishashindwa kuifuatafuata yanga sembuse azam, ataishiwa fedha, yanga timu yangu, timu yetu, timu ya wananchi haikamatiki.
ni dakika ya ngap mkuu?
Mbona hamsemi vizuri wazee, yanga wamefunga au?Dak. 7 neti tangu utabiri Yanga wamepata bao. Mkuu unatisha.
Mkuu,ngoja nifungue ofisi ya utabiri.
Yanga imeingia uwanjani kupasha.Anaoneka Kaseja na Bartez goli na kusini,goli la Yanga hulindwa na wana Simba
sorry hivi Dida ni majeruhi ama?