The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
kwani Arsenal bila Wenger haiwezekani? Kila mwaka madudu tu
Arsenal-Arsene=ale
kwani Arsenal bila Wenger haiwezekani? Kila mwaka madudu tu
Naombea watoe sare!!!!
Asenal kagongwa 4 mpaka sasa.
Hahahahahaha,Itakua Arsenal ya Yombo Dovya hiyo!Mkuu Aseno ipi?Mpira umeisha ni 6 bila.
Mkuu OKW BOBAN SUNZU badilisha hiyo I'd yako maana hayo majembe yote hayapo msimbazi,
Ebu jaribu hii inaweza kua mbadala wa hiyo uitumiayo:IVO KIEMBA MUSOTI
Aise! Cc Invisiblemkuu MODs wananipotezea.ninawaomba mara kibao sana
kama 6 ni wiki, basi hata yanga ilishapigwa wiki mara nyingi tu .. na al ahly, simba, raja casablanca, nkAseno kapigwa wiki.
Mkuu kweli ni sitta mda ule post yangu ilichelewa wakati ikiwa nne bila.Mkuu Aseno ipi?Mpira umeisha ni 6 bila.