Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Azam bado wana mechi ngumu mkuu....Wana mechi na Mbeya City (Sokoine) na pia wana mechi na Simba, bila kusahau timu isiyotabirika ya Mgambo FC...

Ni mapema sana kusema Azam ni bingwa....

Mkuu hawa washukuru ile ajali tuliyopata Mikese imetuasili kisaikolojia la sivyo wasingetoka. Azam uwezo wa kutwaa ubingwa hawana ila tunapaswa kuwapongeza kwa kutetea nafasi yao ya pili mara tatu mfululizo wanastahili pongezi kwa kweli.
 
Mmesaidiwa penalty hola!
Wamemtoa mchezaji wetu bado mmeshndwa!

AZAM MWENDO MDUNDO TU HADI UBINGWA!
NAKUJA KWENU MA MODS! KWANINI MLIPELEKA UZI MAFICHONI?

KWANINI KILA NILIPOKUA NAUPDATE,POST ZILIKUA HAZIONEKANI HASA NDALA WALIPOKUA WANAENDA KIBRA?

JF si kichaka cha wazushi. Peleka upuuzi wako fb.
 
Azam bado wana mechi ngumu mkuu....Wana mechi na Mbeya City (Sokoine) na pia wana mechi na Simba, bila kusahau timu isiyotabirika ya Mgambo FC...

Ni mapema sana kusema Azam ni bingwa....

gemu ngumu ni ya kwenu tu maana mnamchezo mmoja mngeshinda tungesema hivyo lakini tumegawana point..
 
Mkuu hawa washukuru ile ajali tuliyopata Mikese imetuasili kisaikolojia la sivyo wasingetoka. Azam uwezo wa kutwaa ubingwa hawana ila tunapaswa kuwapongeza kwa kutetea nafasi yao ya pili mara tatu mfululizo wanastahili pongezi kwa kweli.
na red ya nyoni..
 
Napata wasiwasi na waamuzi wa tanzania, kama sio kutumika kwa rushwa basi ushabiki. Haiwezekani, Mtibwa Abdala Juma alipewa kadi na mtibwa wakalalama kuwa kadi haiku halali, Azam jana yaleyale, ina maana Yanga ni lazima wachukue ubingwa? kama mnabisha mtaona mechi ijayo na mgambo

Yanga tegemeeni mbeleko hapa nyumbani ikifika mashindano ya kimataifa ambako hakuna mbeleko ndoo hivyo tena unarudi mapema.
 
Hivi hii ni akili au matope ningekuona wa maana kama ungezungumzia ile kadi ni halali au sio halali, jibu la jumla kwa swali lako la kitoto ni kuwa wachezaji wa timu pinzani inapofika mwishoni mwa ligi wanaipania sana Yanga wanakosa nidhamu wanapigwa kadi kama sehemu ya sheria 17 za soka zinavyotaka.
 
mwanzisha mada we ni mbulula zungumzia kwanza mazingira ya kadi yenyewe na sheria zinasemaje halafu ndo uje na conclusion zako....sijui na wew ni miongoni mwa lile kundi la division 5 au ndo wale wang'oa viti wa pale msongamanon
 
Napata wasiwasi na waamuzi wa tanzania, kama sio kutumika kwa rushwa basi ushabiki. Haiwezekani, Mtibwa Abdala Juma alipewa kadi na mtibwa wakalalama kuwa kadi haiku halali, Azam jana yaleyale, ina maana Yanga ni lazima wachukue ubingwa? kama mnabisha mtaona mechi ijayo na mgambo

Yanga tegemeeni mbeleko hapa nyumbani ikifika mashindano ya kimataifa ambako hakuna mbeleko ndoo hivyo tena unarudi mapema.

unaongea kama umekatika kichwa hiyo faulo aliyo fanyiwa Okwi na huyo sijui Mwantika ndani ya kumi nane mbona ujaiona,Yanga haibebwi tatizo mme kalili kung'oa viti
 
na red ya nyoni..

anaeishia round ya kwanza napocheza na matetea wanini,ndo wakina mtibwa hawa walituaibishaga kupigwa na vitim goal nyingi wakati Simba au Yanga wakicheza na hivyo wanasogea round nyingine za vigogo..yeye aendelee kuzalisha wachezaji tuu
 
Napata wasiwasi na waamuzi wa tanzania, kama sio kutumika kwa rushwa basi ushabiki. Haiwezekani, Mtibwa Abdala Juma alipewa kadi na mtibwa wakalalama kuwa kadi haiku halali, Azam jana yaleyale, ina maana Yanga ni lazima wachukue ubingwa? kama mnabisha mtaona mechi ijayo na mgambo

Yanga tegemeeni mbeleko hapa nyumbani ikifika mashindano ya kimataifa ambako hakuna mbeleko ndoo hivyo tena unarudi mapema.
Tff ki2 yote jangwani. Ss wanataka kupima na kwa maanadamano ya kutaka viwanja vya wa2. Mbn azam walienda chamaz na nyie nendeni mabwe pande mapori bado yapo aha ekari 13 hata 40 mtapewa.
 
Yani huyu Rage ni wakulaani sana,eti kweli imefika wakati inazungumziwa Yanga na Azam tu,sisi hatutajwi kabisa,yani sisi wa4,daaah
 
Yanga vs Mgambo leo, jamaa wa jangwani wameanza kuchonga ma-droo ya kabati
 
Wakuu wangu Katiba Mpya imezingua na tunaachana na stress zake.Sasa pamoja na mimi kuwa Chalinze kwny kampeni lakini nitawalea LIVE game ya Yanga na Rhino Gari ya Yanga imeingia uwanjani,watu wanalipuka hapa.inapaki na kocha anashuka,akifuatiwa na Bartez,Chuji,Yondani,Ngasa etc.heeh mbona nusu ya timu hii ni SIMBA ya zamani.SIMBA CHUO CHA MAFUNZO.Updates! FT Yanga 3:Rhino 0
 
Kuna mechi ya utangulizi hapa,zijafanikiwa kujua hasa ni timu gani,naambiwa ni timu za wilayani
 
Back
Top Bottom