Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Wewe hat trick ya Hazard umeipata wapi wakati magoli yamefungwa na watu wanne tofauti.

weA kJNCFlBjAAAAABJRU5ErkJggg==

Afute kauli.
 
Rhino wameahidiwa 50m endapo wataipiga Yanga leo au 25m endapo watatoa draw!
 
Mpira unapigwa toka rhino.upo kati ya dimpa.hatariii,goooo,rhino wanaokoa hapa.Daah,pongezi kwa beki wa rhino aliyebaki golini baada ya kipa kutoka.Kipa anagangwa
 
Rhino wameahidiwa 50m endapo wataipiga Yanga leo au 25m endapo watatoa draw!

mkuu wajeshi wameahidiwa na nan? Mwamunyange nin,itakua kaona mbali kua hata droo hapati,washuke tu daraja bora timu za wananchi zijae.
 
Inapigwa foulo kwnd Yanga,Yanga wanazuia na mpira unatoka,Ngasa..ngasa na mpira,ni mpira wa kurusha.hatari rhino wanakoswa koswa mara 2 hapa.
 
Okwi...okwi anaramba chenga ya hatari,anawekwa chini.anapiga foulo,goooh.Yanga moja
 
Back
Top Bottom