Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Ndio tupo jamhuri kipindi cha pili sasa....
Last edited by a moderator:
Ndio tupo jamhuri kipindi cha pili sasa....
Ndio tupo jamhuri kipindi cha pili sasa....
Leo Azam atakiona cha moto!
Mimi mpaka mwakani..hapa naulizia tu Man United bado ipo ligi kuu ya uingereza?
azam lazima wachukue wiki
Kakuongopea nani? Ligi hainogi upande wenu tu lakini upande wetu (Azam & Yanga) inanoga ile mbaya.Toka timu kiboko ya waarabu aka mnyama mkali Simba sports club ipate misuko suko na kuwa dhoofu hali sasa ligi imepoteza mvuto.
Toka timu kiboko ya waarabu aka mnyama mkali Simba sports club ipate misuko suko na kuwa dhoofu hali sasa ligi imepoteza mvuto.