MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,167
- 35,733
Ndege ya Obama Ndio inatua sasa.
Ni kweli ndege inatua sasa hivi!
Ndege ya Obama Ndio inatua sasa.
Jamani kwa wale ambao hawapo kwenye runinga ni kwamba sasa lidege ndio kwanza limekanyaga ardhi yetu.................. Zaidi tutaendelea kuwajuza. stay tune.
Naona ndege yake hiyo iningia
Sipo uwanjani naangalia kupitia luningaLete picha tukuamini ......