![]()
Masaa manne yaliyopita.
![]()
Masaa manne yaliyopita.
Hivi nani analipia gharama za hayo Mapambo na nguo?
Mi mwenyewe najiuliza hii badget inatoka wapi?
barabara nyeupe,daladala zipo wapi?
kwanini obama anapigiwa mizinga 21?..
barabara nyeupe,daladala zipo wapi?
kwani ungemuona angekusaidia nini?Kuna kamanda mmoja kawambia waTZ wakae 15-20mita kutoka barabarani kwani Obama hawatamuona wataona gari lake tu, wasiwe na wasiwasi. Je ni kweli watu wakae barabarani kuangalia gari la Obama, kweli masikini ni wa kila kitu, ukiwa tajiri wa kitu hata kimoja wewe sio masikini.