Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Waafrica tunatawaliwa na tutatawaliwa na wazungu hadi tunaingia kaburini.

Na dunia hii inaendeshwa na itaendeshwa na mfumo kristo hadi kiama. Hutaki unaacha.
 
Wamarekani ni wazarendo kwa nchi yao kwa kila kitu, wakati wimbo wa marekan unapigwa obama alikuwa kaweka mkono wa kulia kwenye moyo wake, ila wakati unapigwa wa tanzania mikon ya kikweti ilikuwa imenyooka
 
Mama Salma na lugha ya kuunga unga kazi anayo...

Michelle anajua Kiswahili kwa hiyo Salma asihofu watapiga soga kama kawaida jikoni ikulu huku waume zao wakidondosha signature sebuleni.
 
Obama mshamba kweli naona anashangaa vikundi vya ngoma za asili hapa.
 
with due respect nawapogeza tbc1 kwa live coverage nzuri.ni tofauti kabisa na zile poor and regular coverages we used to watch...big to wanyasa nasi tumo.
 
Yaani wamevaa sare ya kitenge na t-shirt na kofia yake
full masinonda wanawake na wanaume.

Mimi niko kati ya hao wanaomba kumsalimia baba Ritz
Kwetu hakuna linaloshindikana.

Mamndenyi kwani wanaume wakivaa sare hawatambuliki au wanafanana na wanawake?
btw na wewe umeenda airport kumpokea Alebama au uko Ikulu hapo unamsubiria?
 
Last edited by a moderator:
Mishele obama kivazi alichova kinatutia vishawishin
 
Mabinti wa obama wanashangilia sana inaonekana wamedatishwa na hawa wacheza ngoma wanaocheza km Tmk. Duh hapa jamaa Obama kaamua kula lumba kabisa.
 
Hivi amekuja kufanya nini vile?
Maana niliskia ujio wake lkn sjaambiwa anakuja kufanya nn!
 
Back
Top Bottom