Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Kumbe Obama ataingilia mlango wa nyuma wa Ikulu wa kule Ferry kwenye harufu ya samaki?
 
Hapana anaingilia lango kuu lakini atakwenda moja kwa moja lango la mashariki kuifungua barabara iliyopewa jina lake.
 
Ila hapa nimeshangaa kidogo kuanza na wimbo wa taifa la Marekani then Tanzania au ndio protocal? Hebu tusaidiane ktk hili tafadhali.
 
[Qhapa ndio wanaponichekesha
hawajui US hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu????
Marekani ana interest zake na sio kwa interest zetu..
naona BBC wameonyesha dar live Obama akishuka kwa dege lake
nasi wa madongo kuinama tumeona live via BBC
UOTE=Shadow;6722800]

Barabara hii imefungwa kuanzia saa sita mchana huu mpaka saa tisa alasiri- RC dsm[/QUOTE]
 
Obama anapita kukagua jeshi jwtz na bodigadi wake wakiwa nyuma.
 
kwani ungemuona angekusaidia nini?

Hatupashiwi hata kwenda kukaa barabarani, kwani gari lake tukiliona litatusaidia nini??? Kama kumwona yeye kama binadamu hata mimi ningeenda kumwona, lakini kwenda kuangalia gari lake hata mwanangu hataenda
 
Tayari ameshamaliza kukagua na karudi katika kijukwaa pale na wimbo wa Taifa la Tanzania unaimbwa tena hapa.
 
Demokrasia iko wapi? kupiga risasi na mabomu raia? kubambikizia watu kesi??wizi wa kura??Acheni unafiki wenu!
MKCT_Project1.jpg


"Ujumbe wetu"
 
sijui kwanini mnamchobokea huyo mtu ambaye anakuja kuwafanya muwe maskini maisha yenu na vizazi vyenu kuwa maskini wa kutupwa na kisha kuuzwa nchi yenu, inanishangaza sana mm wala sishobokei wala sina mpango na mtu ambaye anakuja kututawala kikoloni sisi ni koloni la mwingereza na sio usa, kuweni watu wa kuona mbaili wewe umeona wapi maprofesa, wasomi wanashobokea vitu vya kijinga namna hiyo
Ujio wa Obama isiwe kisingizio cha kusaliti ndoa zenu, eti ooh nimechelewa kwenye foleni, Namkemea huyo Pepo ashindwe kabisa, pepo la Uzinzi likakose nafasi ndani ya miyo yenu kwa kisingizio cha Foleni na wote tuseme Amenn

CC: Paloma Aine ladyfurahia
 
Tayari ameshamaliza kukagua na karudi katika kijukwaa pale na wimbo wa Taifa la Tanzania unaimbwa tena hapa na wa marekani pia unaimbwa.
 
kuna mtu kibonge hatari yupo pembeni ya mkuu wa mkoa dar upande w kushoto ni nani..
 
Nimependa ukaguzi wake hakuna mbwembwe amekuja kiuchumi si kupoteza muda apa angekua shemeji angetumia dakika 5-10
 
Mbona wananchi wanaomlaki ni wanawake tuu..?....au na wanaume wapo lakini hawakupigwa picha.....?!!!!

Hujui kuwa wanawake ndio wanaopiga kura kwa kufuata sura; halafu baadae wanalia njaa, kuleni sura mnazochagua nyie mburula!!!! Wanaume hawana time na watu wa KOMEDI za kiswahili wanapata kilaji!!!
 
posho za leo dolari $$$$ tu ...yule alietangulia joji mushi alituachia vyandarua miloni 2 hivi.......labda mjomba MBARUKU OMBAMA atamalizia na magodoro kabisa 6x6
 
Back
Top Bottom