Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Hujui kuwa Obama kaja na binti zake....Huyo jamaa wa nne mwenye mavazi meupe na tai ameshikilia nini mbele ya Marais?
View attachment 100365
Hujui kuwa Obama kaja na binti zake....Huyo jamaa wa nne mwenye mavazi meupe na tai ameshikilia nini mbele ya Marais?
View attachment 100365
Dah..!!! Samahani lakini kitu kinaniudhi hichi dah!!!! Uvivu wa kutumia ulimi wala si kingine!
Huyo jamaa wa nne mwenye mavazi meupe na tai ameshikilia nini mbele ya Marais?
View attachment 100365
Wacha wee tanzania hii hii?
ukimuona mbwa juu ya mti ujue kawekwa.mama salma anapwaya sna
Wanakutana kwenye kuweka shada la maua kwenye kumbukumbu ya waanga wa bomu la 1998 na hili tukio litakuwa pale ubalozini msasaniEti Bush na Obama kukutana Tanzania......hii inatoa maswali zaidi kuliko majibu.
ni kweli mkuu, kama unaangalia tbc sasa hivi kutoka ikulu zinaonekana picha bila sauti, sauti inayo sikika ni ya mwanadada aliye studio wakati mara ya kwanza walikua wamejiunga na wakina hassan moja kwa moja toka ikulu. sauti haiko live baada ya hiyo sauti kusikika. mia
Ushamba wetu mpaka Ikulu?ana body nzuri kweli utafikiri ana miaka 30 hivi,mama salma kanenepeana kila sehemu
nimesikia sauti kwenye tbc1 tv tena sauti ya kike ikisema "sasa nitakumiss kwa muda gani mpenzi?, ameshaongea yote na viongozi". hii ni aibu kubwa kwa chombo cha taifa. mia
daah hata sie wa daa tumenuna manake tulitegemea atakuwa kwenye gari la wazi na kutupiga wepa!Asante sana kiongozi walau nasisi wa Bukoba tunashiriki kwa sataili hiyohiyo
Hujui kuwa Obama kaja na binti zake....
JF nao walifuatilia mapokezi ya Obama kwa karibu sana
There are currently 3370 users browsing this thread. (248 members and 3122 guests)
Obama anapita na watu wanaotoa machozi wakimshika mkono hawataki kumuachia. Karibu Tanzania Obama cc tunamapendo ni watu wachache tu wanataka kuharibu hali ya hewa.