mkuu name nimeisikia sauti hiyo. watu wanaleta mlovee kazini.
mkuu pengine wanataniana mbona utani ni kawaida sana kwa wabongo.
mkuu name nimeisikia sauti hiyo. watu wanaleta mlovee kazini.
Naomba majina ya mawaziri waliokuwepo uwanjani kmpokea Obama, Nilimwona Mwigulu na kilemba chake akicheza ngoma
Wafuasi wa chadema mnanishangaza sana yaa mnadhani taifa kubwa kama hili la Tanzania matukio madogomadogo ya purukushani za polisi na wababe mnaokaidi amri halali za polisi yatakosekana? Kama ni utawala bora wa serikali ya Jk unazungumzwa kila sehemu ya dunia hii mpaka wenye chuki na Tanzania wanakosa la kuongea wamebakia na kuzua vioja.
Ni heri kurudisha wakoloni wa kizungu kuliko wakoloni tulio nao sasa hivi...
Ngoja ni ziddi kukuletea mapicha mwisho utajua tu kuwa hao wote ni watu waliouliwa na serikali ya CCM ambayo wapuuzi kama wewe mnasema eti ina utawala bora.....
acheni utoto si kila thread ni ya mambo ya ccm na chadema
hakuna asiyejua kuwa wote hawa waliuliwa na CHADEMA kwa uroho wao wa madaraka.Ngoja ni ziddi kukuletea mapicha mwisho utajua tu kuwa hao wote ni watu waliouliwa na serikali ya CCM ambayo wapuuzi kama wewe mnasema eti ina utawala bora......
mkuu niliwaona amiri jeshi mkuu wa Zanzibar shein, mzee wa lazima wapigwe tu, RC sadiki na meya tumbo tumbo ma------- a.k.a makalio
mkuu vibinti vyake vina mapepo, na hasa kale kakubwa, nataka nimpigie akaache nibaki nako nyumbani kwangu nikafanyie maombi.
mkuu vibinti vyake vina mapepo, na hasa kale kakubwa, nataka nimpigie akaache nibaki nako nyumbani kwangu nikafanyie maombi.