Kikwete anaongea ka kapaniki vile....ameanza kwa kutaka kuchekesha ikashindikana...ajitahidi kutulia asitutie aibu
Inaonyesha OB Van ya TBC 1 iliyowekwa Ikulu ni mbovu. Kwa nini wasilete ile iliyokuwa airport kuokoa jahazi?
Wanakutana kwenye kuweka shada la maua kwenye kumbukumbu ya waanga wa bomu la 1998 na hili tukio litakuwa pale ubalozini msasani