Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

9642550_orig.jpg


9440107_orig.jpg
 
3474063_orig.jpg


Ubungo inapigwa sopu sopu kwa kesho!
 
Usiombe usikie bajeti ya kumpokea huyu Obama...
na hili litajulikana, si ajabu kusikia 150b wakati kila kitu USA wanasema wamegharamia wenyewe mpaka ulinzi, vyakula, hoteli, magari nk!
 
Mkuu wangu aibu hii acha tu, Chagonja yeye hapo hawezi kusogea hana hadhi hata kidogo, maana wapumbavu wengi sana sijawaona hapo
Yeye anacho kiweza ni kupanga namna ya kuwamaliza chadema....
 
unajua miradi inayoendeshwa kwa pesa za wamarekani hapa tz? unajua wanatupa kiasi gani kwenye malengo ya milenia?
au hesabu yako iko kwenye elfu 10 watakazopewa kila mcheza ngoma au hivyo vimizinga ambayo vimelipuliwa kwa heshima obama? ulitaka iendelee kukaa tu ili ilipuke yenyewe?au akina kikwete kumngoja air port hushangai kikwete kukimbiza na misiba ya wasanii underground hata wasio kuwa na majina siku nzima kwani hana kazi ikulu?

Taifa ili linahitaji wawekezaji ndio wamekuja, KIKUBWA ULICHOTAKIWA KUCHANGIA NI KUWA VIONGOZI WAWE MAKINI KATIKA MAKUBALINO YA KIBIASHARA

Mimi naongelea Micro economy wewe unaongelea Macro economy! Machinga/mama ntilie hawajafanya biashara wiki sasa siyo umasikini huo?
 
Back
Top Bottom