Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
Mchawi mkubwa wewe, umelewa viroba. Watu ni wengi na sasa.
 
Bt izi picha jua inaathiri sana bt teknohama ina2saidia cdm like this.
 
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa

acha unafiki mm niko hapa na watu wanazd kujaa muda unavyozidi kwenda.usipotoshe wana jf ndg yangu km huwezi kuwa mkweli kaa tu kimya
 
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa

Pole sana! You can fool some people sometime but you cant fool all the people all the time!
 
Ombaomba wengi wanatoka Dom kwasababu ya ccm, anawasihi wanadodoma waachane na ccm.
 
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa

A bustard is a liar, Shakespeare wrote a poem.
 
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa

Hakuna ulazima wa kuchangia uzi usiokuhusu wewe gamba gumu,usitake kuchafua hali ya hewa hapa watu tukala ban,anzisha thread yako na watu wa type yako watachangia huko kwa amani na upendo na mtajadiliana kwa furaha sana huku mkiendelea kujazana pumba vichwani mwenu,TUACHENI SISI WATU MAKINI TUFUATILIE HABARI ZA CHAMA MAKINI ,CHADEMA,!!!!!!
 
Saidi arfi;hat wazee pia wapo chdm siy vijana tu
 
Said Arfi anasema watoto wanamaliza std7 hawajui kusoma na sirikali ya ccm haijui kwnn watoto wanamaliza std 7 hawajui kusoma na kuandika. Anawaomba vijana wajitokeze kwawingi kujiandikisha kupiga kuru.
 
Hakuna ulazima wa kuchangia uzi usiokuhusu wewe gamba gumu,usitake kuchafua hali ya hewa hapa watu tukala ban,anzisha thread yako na watu wa type yako watachangia huko kwa amani na upendo na mtajadiliana kwa furaha sana huku mkiendelea kujazana pumba vichwani mwenu,TUACHENI SISI WATU MAKINI TUFUATILIE HABARI ZA CHAMA MAKINI ,CHADEMA,!!!!!!

thanx kumpa fact huyo mla posho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom