Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Anasema maadui wa 3 nyerere aliwaacha nw kongezeka wa 4 nae ni ccm
 

Attachments

  • Dodoma2.jpg
    Dodoma2.jpg
    210.4 KB · Views: 430
Mrema anasema Mlacha mwaka 2006 alikuwa anasimamia miradi udsm akaanza kujenga shuleyake kule same. Anasema Mlacha akakaguliwe na asiwanyanyase wanafunzi coz wapo chadema.
 
Mrema;Profesa mlata udom akaguliwe na CAG.anamiliki alkachenje sec iko moshi.ripoti wanayo tayari chdm
 
Mrema anaendelea Mlacha anakesi yakujibu maana ametubip sasa2tampigia. Aache kuwakamata wanafunzi kisa wamepanda gari zenye bendera za chadema.
 
kwenye harakati za ukomboz lazima mbegu izikwe ili iweze kutoa mazao mapya-hivyo ni kweli kufungwa,kufukuzwa vyuo,na hata kufukuzwa ubunge ni dalili za kuelekea kwenye ukombozi!!!!!!!!!!
 
Wakuu niko hapa lakini watu ni wachache sana, baadhi ya wabunge wa CDM wameshaondoka na wengine wanaondoka sasa, kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Dodoma, watu ni wachache sana, wako bizy na shghuli za ujenzi wa Taifa
 
Zitto anasema Arumeru imetoa ujumbe kwa watawala kuwa sikuzao zakuwa madarakani zinahesabika. Kwamara yakwanza ktk historia ya nchi hii tangu mfumo wa vyamavingi uanze upinzani(cdm)umepata ushindi mkubwa. Anasema akimuuliza swali Mkulo huwa anatetemeka.
 
Zitho huyo jukwaani;mkulo kila akiulizwa swali na zitho anatetemeka
 
twmbiaen mkutano huo hapo mjini dodoma unahusu nini wandugu zangu mliopo pande izo na picha zinakua muhimu sana

Nia yake ilikuwa kumtambulisha Nasari mjini dodoma, lakini mapokeo ni mabaya sana, kuna watu takribani 50 hivi na kati yao ni kutoka vyombo nya usalama
 
twmbiaen mkutano huo hapo mjini dodoma unahusu nini wandugu zangu mliopo pande izo na picha zinakua muhimu sana

Ni kuwapa wananchi ufahamu, elimu ya uraia na ujenzi wa chama!
 
anasema damu yake iliyomwagika ni chechemu ya mabadiliko.

"tell my people that I love them and that they must continue the struggle. my blood will rourish the tree that will the fruits of freedom.ALUTA CONTINUA" Naneno ya comrade Solomon Mahlangu mpigania uhuru wa Africa ya kusini muda mfupi kabla ya kunyongwa na serikali ya Kibaguzi ya Afrka ya Kusini tarehe 6 April 1979. Kamanda Machemli tunamwambia kwamba damu yake kamwe haikumwagika bure. safari knakaribia kuisha . kaza buti kamanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom