Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Anasema wakimalza bunge, makamanda wote mwanza. Wanaandamana waalfu wakamatwe
 
I love jf jamani! Yani najisikia raaaha kama vile niko dom! Jf juuuuuuu! Nina hamu ya ukombozi zaidi ya ninavyokuwa na hamu ya kitimoto

Kama hivi
 

Attachments

  • Dodoma4.jpg
    Dodoma4.jpg
    151.9 KB · Views: 132
Siku zote CDM inakubalika kwa kuwa Mipango na Njia za Mungu hazichunguziki kamwe. CDM forever,
 
Yatia moyo sana!! Inabidi wakinukishe Mwanza soon, hiyo damu haiwezi mwagika hivihivi bila watu kuwajibishwa!!

It's either now or never!!

Mabadiliko yanaendelea.
 

Attachments

  • Dodoma5.jpg
    Dodoma5.jpg
    175.5 KB · Views: 85
Magambaz, si mtuletee updates za mjengoni, Tume ya Katiba & Co pleeeeeeeeeeese!!
 
Mbowe anampa pole Machemli na kumwambia komaa. Anasema wanadodoma wajiulize ktk vitahii tunayopigana amekuwa wa neema au wa balaa.
 
Tunaviongozi hopeless. Wanamaliza madini yetu tunawaangalia, hakuna ajira cc2po amani na utulivu, hakuna mikopo chuo kikuu-amani na utulivu. Mbowe
 
Anasema atakua kiongozi wa kwanza kuongoza uasi. Jamaa bila maandamano hawasikii
 
Mbowe atangaza rasmi maandamano nchi nzima. Anasema bila maandamano haya majamaa(ccm)hayasikii.
 
Anawapa salam ccm wa dom, c wao wenye chama ni wachache. Wadom walio ccm wachukue ha2a
 
Magambaz, si mtuletee updates za mjengoni, Tume ya Katiba & Co pleeeeeeeeeeese!!
Mkuu kwanza niombe radhi kwa kuniita GAMBA,
Pili mimi sipo bungeni nipo viwanjani nafuatilia mkutano wa CHADEMA, naona idadi ya watu hairidhishi ila sio mbaya ni mwanzo mzuri.
Pia nashangaa kwa nini CDM lazima wamtumie zitto au ndo anasafisha chama nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom