Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

Mbowe amewaita wabunge wapya jukwaani, anawatambulisha rasmi. Anaanza na mbunge wa viti maalum ambaye kitaaluma ni mwanasheria. Anaendelea kwa dogo janja kuwa katoka kwnye mpambano mkubwa.
 
Hiyo ndio shida ya wakosa akili wa magamba hata ukweli mnabisha huku meru ilishaonekana mapema hamtakiwi lakini mkabisha then mkaaibika!!! Arusha mjini mmejichanganya sasa tumewpa kavu hata mkiweka jiwe na mkuu wenu tunalichagua jiwe la CHADEMA, leo kwa Lissu mmekimbia mahakamani akili zenu zikoje nyie???
 
I love jf jamani! Yani najisikia raaaha kama vile niko dom! Jf juuuuuuu! Nina hamu ya ukombozi zaidi ya ninavyokuwa na hamu ya kitimoto
 
Anasema weng wanafurahia usndi arumeru, bt hawajua kwny mapambno yalikua makali. Kuna waziri leo kamwambia cdm waliwaibia kura
 
FaE=Malolella;3677515]Mbowe anaanza kuongea huku akisema anakubaliana na chifu wa wagogo kuwa chama kihamie Dodoma. Anasema Dom wananukia uwaridi kwasababu magamba wakishiba nao wanashiba kwa upepo. Huwezi kutaka mabadiliko ukiwa muoga. Anawapongeza viongozi wa Udom kwani wameanza kuonyesha chachu ya upiganaji. Tunakuja Dom maranyingi bt mnanukia waridi, mkoawenu ndo anatoka mbunge maarufu wa misamiati ya matusi.[/QUOTE]

Fafanua tafadhali nini maana dom kunikia uwaridi? Anamaanisha nini.?
 
Mbowe..tehe,tehe..mbunge mwenye misamiati ya matusi mr Lusinde 'a.k.a shule ya awali'
 
Anatoa tamko la chama hawawez kuwa makondoo,muda wa kuonewa umeisha
 
Tunashukuru hata sisi tulio Musoma ni kama tuko nanyi hapo!!
 
Kwasababu ZittoUOTE=The Priest;3677567]anakubalika sana,ameshangiliwa sana alipopanda jukwaani,yupo ndani ya mioyo ya watz.[/QUOTE]

Kwasababu Zitto siyo Nape, Naibu katibu mkuu wa cdm, ulitaka apandishwe Nape?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom