Utabiri umetimiaKuna mtu alitabiri ukishafika huko msibani utaomba tena hela!
Wala sio utabiri, ni kitu kilikua wazi akienda ni lazima arudi, kikubwa wameumbuka wote waliomtilia mashaka na kumdhihaki, atachangiwa tena na kurudi kwenye mapambano yake this time atapata na ajira ya kudumuKuna mtu alitabiri ukishafika huko msibani utaomba tena hela!
Tarehe 16? umejuaje?Nikajua unaitwa JK.
Poleni sana na hongeren kwa kumzika Mamushka.
Nimeiona picha.
kwa mazingira . Ni kweli hapo ni kyerwa. (Udongo mwekundu wenye changarawe ,kahawa na migomba).
Ila Erick. Kwann mmemzika Mama jana tar 16 na sio j4 tar 13 kama ulivyosema awali au j5 tar 14?.
Naam βοΈWala sio utabiri, ni kitu kilikua wazi akienda ni lazima arudi, kikubwa wameumbuka wote waliomtilia mashaka na kumdhihaki, atachangiwa tena na kurudi kwenye mapambano yake this time atapata na ajira ya kudumu
Angalia tarehe picture imepigwa/chukuliwaTarehe 16? umejuaje?
Akirudi tena huku Dar ataomba tena hela!Wala sio utabiri, ni kitu kilikua wazi akienda ni lazima arudi, kikubwa wameumbuka wote waliomtilia mashaka na kumdhihaki, atachangiwa tena na kurudi kwenye mapambano yake this time atapata na ajira ya kudumu
Tarehe 16? umejuaje?
Ai lavu yu withi olo mai hati. Yu a re gudu humani bing! πππWala sio utabiri, ni kitu kilikua wazi akienda ni lazima arudi, kikubwa wameumbuka wote waliomtilia mashaka na kumdhihaki, atachangiwa tena na kurudi kwenye mapambano yake this time atapata na ajira ya kudumu
WanakujaWaje oje waliokua wanasema ni tapeli kapata ya bia
Details unazionaje?Picha ya mazishi ina details.
Ni tar 16/10/2026.
Saa 7 mchana dakika 28 na sekunde 9.
Mtumie nauli ya kurudi.Waje oje waliokua wanasema ni tapeli kapata ya bia