UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.
Mkuu nadhani katika hili hujatutendea haki sana. Niliposoma heading nilijua nikiingia humu ndani nakutana na hizo upodates, lakini kumbe nakutana na mtu anayeulizia updates... bao la kisigini hili lol
 
Wamelifungia mwanahalisi waandishi wa habari hawaandamani wako busy na pesa tu,hawana ushirikiano.hivi mkono ukikatika miguu itasema hamna neno twende kazi mikono itajiju wananch nao wamelala sijui mpaka itokee nini.wa tz mgangawetu alishakufaga.uli wape live usiogope mtu ulisha kufa sikunyingi,kesho tutawajua waandishi waoga na wamabwe niwap.siria mtu kajilipua na petroli rais kasakwa tz mpaka iweje sasa?
 
Director:Ahmed Msangi
Producer:Ramadhan Ighondu,
Actor:Joshua Malundi
DOP:....................
Continuity:Kova

Script writer: Ikulu
Director: Pinda
Locations Manager: Said Mwema
Production: Mabwepande
Title: Liwalo na Liwe

Onyo: Hairuhusiwi kunakini na kusambaza bila idhini ya mmiliki

Haki Zote Zimehifadhiwa

 
ni kama baada ya nusu saa hivi kamanda atatua rasmi ndani ya ardhi ya bongo.snipers jiandaeni kama mnaweza ha ha ha!!!
 
Hawa nyinyiem walishajua wamepoteza kamanda hajafa. Walichofanya ni kuliondoa gazeti ambalo baada ya kuongea na ulimboka lingeeleza bila ku dilute habari hata kidogo. Hawakumbuki Yesu aliaambia makuhani, 'hata mkiwazuia hawa, mawe yatainuka na kushangilia'?
 
ndege imetua naiona kwa mbali imepaki. walio karibu watujuze.
 
Karibu sana mkombozi wa madokta hali bado mbaya sana kwa upande wawatetezi wetu kama wewe.
 
i hope kupona kwake ulimboka amejifunza kwamba GOD is a Greater MD than him "ulimboka" .. Asijifanye tena mungu mtu na kuweka rehani roho za watanzania maskini kwa mgomo ...
 
Back
Top Bottom