UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

hizi unazoonyesha hapa ni frustrations tu...ungepata furaha ya kweli kama ulimboka angeaga dunia...
ni mwehu tu atakayesifia usalama wa taifa.ilishindwa kuzuia migomo ya vyuo vikuu,madaktari na walimu.
 
wagonjwa huteseka na kufa kwa ukosefu wa dawa.usitoe hoja zenye viraka!

Dawa zinauzwa, na hakuna upungufu wa dawa. Juzi juzi kwenye tv tumeona dawa za msd zikishikwa vizahanati vya vichochoroni, Ni nani kama si hao hao kina Ulimboka wanaofanya hivyo?
 
hizi unazoonyesha hapa ni frustrations tu...ungepata furaha ya kweli kama ulimboka angeaga dunia...

Hapana, hapo alipofikishwa nimefurahi zaidi, mtu kama yule hatakiwi afe mapema, tunataka tuone anavyoteseka kama alivyowatesa wagonjwa wengine, na natumai ataendelea kuteseka kwa muda mrefu zaidi. Na akikaribishwa kutatua mgomo bar aende tena, kama ana uwezo huo. Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Dawa zinauzwa, na hakuna upungufu wa dawa. Juzi juzi kwenye tv tumeona dawa za msd zikishikwa vizahanati vya vichochoroni, Ni nani kama si hao hao kina Ulimboka wanaofanya hivyo?

ni kweli hata ct scanners na X-ray machines huwa zinapelekwa dispensary za vichochoroni na kina ulimboka.
By the way ningefurahi ungewakumbusha wizara ya afya wawalipe philips fedha zao ili wafanye mantainance ya X-ray machine!
 
siku ukijijua kuwa ni mnafiki mbele ya mungu utaacha mawazo hayo ya kiccm maana ccm wengi ni laana zinawasumbua kwa kuhujumu raia wema
 
ni kweli hata ct scanners na X-ray machines huwa zinapelekwa dispensary za vichochoroni na kina ulimboka.
By the way ningefurahi ungewakumbusha wizara ya afya wawalipe philips fedha zao ili wafanye mantainance ya X-ray machine!

Kwanini ziharibike za umma tu? jiulize utajuwa hao kina Ulimboka wanakotokea, na wamebanwa vibaya sana kipindi hiki, na bado. "Asiyetaka si aache tu" - Kikwete.
 
simple!
Zinaharibika za umma tu kwa sababu hazifanyiwi mantainance kwa wakati.nasisitiza kawape taarifa wizara ya afya wawalipe philips!halafu waambie waninue ct scanner japo moja tu,ile ya muhimbili ni msaada!
 
Hizo za umma ni nani anaetakiwa azitazame zaidi ya hao walioajiriwa kuzitazama na wanaziharibu? fikiri.
 
madaktari sio biomedical engeneers,kinachotakiwa ni mantainance ya hizo machines na wahusika ni philips kama mkataba unavyotaka.wewe unataka ulimboka aache kutibu halafu aanze kukarabati mtambo wa x ray?kwa lugha nyingine mnatakiwa kutimiza wajibu wenu ili madaktari wafanye kazi yao vizuri.
Mtambo wa x ray unatakiwa kufanyiwa ukaguzi na matengenezo kila mara bila kujali imeharibika au la,naona huelewi unachotetea ,huelewi mazingira ya kazi ndani ya sekta ya afya na pia huelewi wagonjwa wanapata shida gani kwa ukosefu wa dawa na vifaa tiba ndio maana unapayuka payuka.
 
Katika madai kumi na saba hakuna hata moja la kutengezwa x ray. Hili jipya? baada ya kichapo?
 
ni jipya kwako wewe usiyefuatilia mambo.
Mazingira bora ya kazi ulidhani ni kufanyia kazi magogoni?get your facts first so that you may be able to distort the facts!
 
Kuna mgomo unamalizwa bar saa tano za usiku? jiulize halafu utaujuwa wembe ni upi.

Juzi mlipolifungia mwanahalisi,halafu wengine wakaalikwa kwenye press conference ya mkulu,nilijuwa hii ni mbinu ya serikali kuweka "signature ya hofu" kwa wanaharakati,wanahabari nk.Ni kama a "carrot and stick" policy.Na ninafahamu kuwa serikali ni kama inafurahia hofu ambayo inaweA ikawa imetokana na tukio hilo, na huku kwa upande mwingine, ikijiweka mbali na uhusikaji wa tukio hilo, so usidhani humu JF ni wajinga.Sasa naona kama mnataka kujustify matendo yenu ya kinyama.I can't even believe you got balls to say this stuff.Kweli only in Tanzania...
 
Waliofanya wamefanya kazi nzuri sana, nawasifu.

zomba ile kazi ilikuwa mbofu mbofu....usiisifie kazi ya aina ile mkuu and I say it from the bottom of my heart. But will PM you soon.
 
Juzi mlipolifungia mwanahalisi,halafu wengine wakaalikwa kwenye press conference ya mkulu,nilijuwa hii ni mbinu ya serikali kuweka "signature ya hofu" kwa wanaharakati,wanahabari nk.Ni kama a "carrot and stick" policy.Na ninafahamu kuwa serikali ni kama inafurahia hofu ambayo inaweA ikawa imetokana na tukio hilo, na huku kwa upande mwingine, ikijiweka mbali na uhusikaji wa tukio hilo, so usidhani humu JF ni wajinga.Sasa naona kama mnataka kujustify matendo yenu ya kinyama.I can't even believe you got balls to say this stuff.Kweli only in Tanzania...

Lecture yooote lakini hujajibu swali dogo tu. Inasikitisha sana. Baada ya hiyo lecture unaweza kurudi juu na kujibu swali?
 
ni jipya kwako wewe usiyefuatilia mambo.
Mazingira bora ya kazi ulidhani ni kufanyia kazi magogoni?get your facts first so that you may be able to distort the facts!

Kuna mazingira mazuri Hospitali zetu zaidi ya wakati huu wa Kikwete? lini?
 
Back
Top Bottom