Bidii unayofanya kwenye hii thread ingetumika kumshauri mwenyekiti wako wa CCM, kuboresha uchumi wa nchi ili huduma ziwe nzuri badala ya kila siku kwenda Brazil na Ghana kwenda kusomea upandaji wa nyanya na mananasi ungetusaidia sana
dhana ya kashfa unazozitoa kuhusu Dr Ulimboka inaonyesha ni defensive mechanisim ambayo waliokutuma wanadhani watapotosha ukweli kwamba Jakaya Kikwete hajiwezi kabisa hakuna alichoboresha zaidi ya kupokea suti kupora ardhi na kumwanzishia mwanaye Ridhiwani miradi ya kifedhuli
Kama idara nzima ya usalama wa taifa chini ya Zoka walishindwa kumuua ulimboka sasa ni vipi yeye atashindwa kurudia kuongoza harakati za kudai haki ya afya kwa kila mtanzania
Aibu aliyopata Kikwete Pinda,Zoka,Rama Hemedi ya kutumia njia za mauaji kunyamazisha wadai haki hawatapata kujisafisha kamwe ni doa watabaki nalo mpaka siku tutakapoweza kuwazika kwenye makaburi marefu ya futi 1000
Kiburi alichonacho kikwete cha kutumia mahakama usalama wa taifa polisi kunyima wananchi haki ya afya madhara yake ni makubwa ambayo wewe kwa kushinda kwenye jamvi hili na kumdhihaki Dr Ulimboka na kumisolate kutoka kwenye kundi la madaktari halitakusaidia wala mwenyekiti wako wa CCM
Haya sasa muueni tena manake munajisifu eti alifanyiwa mbaya , munadhani sifa za akina hemdi abeid na Rama kuwafanyia wenzao mbaya zitapita tuu historia imeandikwa kwamba tuna usalama wa taifa mafirauni wanaofanyia wenzao mbaya halafu wanakuja kwenye mitandao na feki ID kujisifu historia hii haitapita kamwe , yatawarudi ipo siku tuu,na Mwenyezi Mungu hataniwi wala hadhihakiwi ulimuona kwenye vyombo vyote vya habari ni mzima wa afya