Ningekuwa na uwezo wa kimungu ningedeal na wewe mmbwakoko perpendicular maana kila uzi unaochangia ni uharibifu tu. I can imagine how your brain looks like. It must have a special provision to accomodate such a strange behaviour.
huu mwezi wa toba zaidi ya kushiba futari naona hauna manufaa mengine kwako...roho mbaya/chuki ndiyo kwanza vinaongezeka...
Huna adabu!
swali la msingi; atarudia? Kama harudii, somo limemtosha. Au?
toba usoni rohoni uasi ibilisi anakutumia opasavyo. Kiboko yetu mungu asiyedanganyika. Better repent and make things right with god for he is about to act on you. Usiseme sijakutonya
Ni mimi wa ku repent au huyo alie sababisha vifo na mateso kwa wagonjwa wetu? Nna uhakika amepewa fursa ya kutubu kama anaelewa, aanze mara moja au atarudia?
Siku zako zinahesabika,kama ukifanikiwa kuliona jua la mwezi wa Tisa(September) Basi Mshukuru Mungu wako na usitoke katu kwenye Nyumba ya Ibada.
Huna tofauti na wale wanaume wanaotaka kuolewa na wanaume wenzao.sijui wanaitwaje vile?
acha kumtishia uhuni wa ndugu zako ccm ndio uliotufikisha hapa. Dr. amini lazima ile mazima kwa ccm 2015karibu bongo
issue yako ipo mahakamani na please hutakiwi kusema chochote kile kwa kesi iliyopo mahakamani maana kusema tu ni kuingilia mhimili wa mahakama
Ikithibitika Ikulu Imehusika basi Bunge lipitishe hoja ya kutokuwa na Imani na Raisi. Nchi haiwezi kuongozwa na mtu anayevumilia au kuidhinisha mauaji ya raia.
the good thing is ... you didnt set any timeline ya mtu kurudia au la!!! lets waitWho does not know what the doctors wanted and who is behind them? They wanted to fill their bellies first and foremost and let the ill suffer and die in misery. That is a no no no no.
We will not tolerate the ****, let him be a lesson to anyone who plays with our sick.
Atarudia?
You cant reason Zomba, he is serving the purpose!!! and the stakes are high.... wengine wamesharudishwa maelezo; lazma apiganie kaugali la sivyo watampeleka kuishia TFF, maana hata yale mashirika yetu siku hizi juniors wanamdharau tu, si kama zamani??I'm sorry zomba I can't reason with you.
Time to shame the devil! A hearty wellcome home dr. Ulli; take heart in the fact that hakuna mabadiliko (read mapinduzi) yasiyokuwa na wahanga! your blood and pain will not go in vain, karibu sana mwanakwetu, Dr Ullimboka mashujaa hawapewi pole; wewe ni shujaa, uliteguka ukaumia na sasa umerudi mapambano bado ni magumu, kamata tena rungu, mkuki na mshale uingie uwanjani. best wishes
Teh teh teh teh.naona swala na dua tu, updates zenyewe zi wapi?