Unataka kutuambia hawa wote rais amewaonea?
Liyumba visasi, Yona visasi, Ballali visasi, Jeetu Patel visasi, Mramba visasi, Maranda visasi, Farijala visasi, Mgonja visasi?
Kwanini mnaona kama mtu kufikishwa mahakamani ni kitu kibaya? mimi nilitegemea hao wahusika washukuru kwamba wamefikishwa mahakamani ili wapate nafasi ya kujisafisha.
ameshinda kesi mahalu
Kwanini JK hamfikishi kizimbani Rostam Aziz na Manji walioiba pia fedha za EPA kupitia Kagoda?
Hii kesi ilikuwa inamuaibisha rais wetu wa sasa maana ilionyesha dhahiri kuwepo kwa chuki za waziwazi. serikali isijidanganye kukata rufaa bora ifunike kombe mwanaharamu apite. tena walitakiwa kuifuta mapema badala ya kuacha waendelee kuaibika
Inaonekana hatuna wakutupa update, kazi kwelikweli kila mtu anaongea lake