Updates from Kilosa district(taarifa kutoka wilayani Kilosa)

Updates from Kilosa district(taarifa kutoka wilayani Kilosa)

Hahahahahaha,umenikumbusha mbali sana mdau machozi yananitoka hapa,Swahiba wangu alikua Mustafa Mwale,jiran zetu akina Kibarabara wapiga madogori,kule kwa sasa ni MAFURIKO AREA
Yeah mitaa yangu sana hiyo, ila nimekimbia zaman
Usijali. Ndo maisha yalivyo. Hata mimi sipo kilosa kwa sasa. Lkn , i mic badly the place. Akina mwale tukuwa nao sana kwenye game na wananifahamu vizuri. Sio wao tu hata baba yao mzee mwale, alikuwa bingwa wa korokoro. Nitakuwa pale mwezi August, inshaallah
 
npo ipuli near by mama unyango....but now naumwa malaria imenikamata.0767290887
Mamam Onyango,namkumbuka sana huyu mama,hivi yupo?ameniuzia sana Nguruka ili nikachome nile na dona,then asbui Mihogo nilikua nanunua kwa Simba Kisala,maharage kwa Mzee Omari Mawazo (rip) na mbogamboga kwa Kocha,mchele kwa Ally Mngindo na Mdogo wak mohamed Mngindo
 
Usijali. Ndo maisha yalivyo. Hata mimi sipo kilosa kwa sasa. Lkn , i mic badly the place. Akina mwale tukuwa nao sana kwenye game na wananifahamu vizuri. Sio wao tu hata baba yao mzee mwale, alikuwa bingwa wa korokoro. Nitakuwa pale mwezi August, inshaallah
Yeah kaka,mustafa nimesoma nae darasa moja std 1-7,then Mkno wa Mara .kisha nikaondoka ndo sikuwai kurud kwakweli,
 
Kaka hayo yapo kote tanzania. Niambie sehemu gani hayo hayapo. Mwanza,arusha,kigoma,kagera,ruvuma,ruskwa,singida,dodoma,kilimanjaro,katavi,mbeya,shinyanga,simiyu,manyara,lindi, mtwara,tabora,tanga etc. Wapi hayo hayapo?. Mara nyingi tukienda kufanya kazi kwenye mijinya wenzetu nasi husema hivyo ili kuonyesha kuwa kwetu kuna ustaarabu sana. Kwa bahati nzuri mimi nimeshamaliza mikoa yote ya tanzania hii. Hayo ya wenyeeji kupeana kazi ovyo ovyo yapo kote tanzania na si kilosa pekee. Na kuhusu uchawi hilo sio suala lamkilosa pekee, ni suala la dunia nzima. Hata kwenu wewe yapo, hayakwepeki. Kiufupi matendo yzko na kauli zako ndizo zinaongoza wengine na kukuambia fulani mchawi.

Inawezekana wewe ulienda nao ili uwajaribu,ukakurudi na sasa unawatuhumu. Wasiwasi wangu isijenkuwa wewe ni wale mlilkulanfedha za miradi ya maendeleo ya wilaya ya kilosa ambao baada ya kujulikana wengine mkaacha kazi wenyewe na wengine walihamishiwa magichoni. Usijali lakini, maisha ndivyo yalivyo. Tutayafanyia kazi kwa ajili yza maendeleo ya kilosa.

Mkuu tunazungumzia Kilosa hapa,. na mtoa mada karuhusu watu tukoment. Sidhani kama ingekua busara kuongea habari za Mbarali, Temeke, Namtumbo n.k. Yes ni tatizo la kitaifa, hii haiwezi kuzuia mtu kuongelea ktk eneo moja tu hasa kwa mazingira ya kwenye uzi huu. Usipanic mkuu!!,, mimi nilikua mdogo sana ktk utumishi wangu pale. Actually bado naidai halmashauri ya Kilosa stahiki zangu.
I like that last sentence of yours. You need to involve GOD too in this.
 
Together we stnd bro, peace and love
 
Kiuchumi:

Mashamba yakukodi kulima vitunguu mwaka huu ni shida sana. Watu wengi walikodisha tangu mwaka jana. Hasa maeneo ya Lumuma, msowero, Mbuga n.k yaani nimezunguka sana lakini maeneo mazuri yote yamechukuliwa. Pia upatikanaji wa mbegu ya vitunguu ni shida.
 
Kiuchumi:

Mashamba yakukodi kulima vitunguu mwaka huu ni shida sana. Watu wengi walikodisha tangu mwaka jana. Hasa maeneo ya Lumuma, msowero, Mbuga n.k yaani nimezunguka sana lakini maeneo mazuri yote yamechukuliwa. Pia upatikanaji wa mbegu ya vitunguu ni shida. ....mkuu mimi nilikodisha shamba kulima vitungu hapo mvumi, kule kwenye mashamba ya umwagiliaji mangombole mashamba yale yalikua na uharisim sana kwenye suala la maji kuyaleta kwenye eneo lako ulilo kodi basi ni shidaaaa tu
 
Usikate tamaa kwa sababu unapambana na maisha yako. Endelea kuwasiliana na jamaa zako toka ktk maeneo uliyotaja.

Lakini pia kama kuna yoyote kati ya wanabord anayeweza kumsadiamndg yetu huyo kupata maeneo ya kukodi, nashauri amsaidie.

Namtumba wawekee namba yako ya simu kwa mawasiliano zaidi. Ni ushauri tu.
 
Kiuchumi:

Mashamba yakukodi kulima vitunguu mwaka huu ni shida sana. Watu wengi walikodisha tangu mwaka jana. Hasa maeneo ya Lumuma, msowero, Mbuga n.k yaani nimezunguka sana lakini maeneo mazuri yote yamechukuliwa. Pia upatikanaji wa mbegu ya vitunguu ni shida. ....mkuu mimi nilikodisha shamba kulima vitungu hapo mvumi, kule kwenye mashamba ya umwagiliaji mangombole mashamba yale yalikua na uharisim sana kwenye suala la maji kuyaleta kwenye eneo lako ulilo kodi basi ni shidaaaa tu

Mrzngi. Vita ya maisha haiendi bila mikakati. Kama wao wameweza jiulizd kwa nini wewe ushindwe?. Weka mikakati ta kupata mbegu pamoja na maji. Kama mbegu hazipatikani kule, jaribu kwenda sokoni Kariakoo, pale wana mbagu za kila aina. Kuhusu maji, jadiri jambo hilo na wakulima wenzako ili muweze kuona jinsi gani ya kutengeneza mgao chanya kwa ajili ya maendeleo ya wote. Usisite kuwasiliana na viongozi wa mashamba yale pamoja na viongozi wa kijiji kwa majibu chanya zaidi.
 
Niliishi kilosa 1998 hv mpk 2000 na kitu hv'manzese.namkumbuka mzee mmoja alikuwa akiitwa mzee makubi jirani na mashine ya bakhamis pale,nasikia marehemu kwa sasa.sijui kwa waliowahi kuishi manzese na njiapanda kukoje kwa sasa.dah!napakumbuka kilosa day mahali pa kukamatia totoz.na sijui vp haka kaugonjwa ketu huko kilosa maana kipindi hicho ilikuwa hatari kwa wa2 kushea.kilosa pazuri bwana
 
wakuu naishi kilosa kwa sasa,nipo chuo cha maafisa tabibu pale hospital...guys wengi wanapaponda kilosa but to me so far i luv this place...
 
sawa NAMTUMBA....sahivi nafikiria kwenda kulima nyanya chungu huko wenyewe wanaziita yeboyebo
 
Last edited by a moderator:
wakuu naishi kilosa kwa sasa,nipo chuo cha maafisa tabibu pale hospital...guys wengi wanapaponda kilosa but to me so far i luv this place...

RMA? HONGERA BRO? HAPO SI NI KARIBU NA MTENDENI? Sawa kaka piga buku tunakusubiri kilangali
 
Niliishi kilosa 1998 hv mpk 2000 na kitu hv'manzese.namkumbuka mzee mmoja alikuwa akiitwa mzee makubi jirani na mashine ya bakhamis pale,nasikia marehemu kwa sasa.sijui kwa waliowahi kuishi manzese na njiapanda kukoje kwa sasa.dah!napakumbuka kilosa day mahali pa kukamatia totoz.na sijui vp haka kaugonjwa ketu huko kilosa maana kipindi hicho ilikuwa hatari kwa wa2 kushea.kilosa pazuri bwana

Maisha sasa hivi wapi?, kilosa ipo kama ilivyo japo kuna ongezeko kidogo. Viwanja ni uhindini na manzese. Wakati ule mzee ulikuwa unapig kavu nini? Utani. Pay a visit one day.
 
Nimfurah sana kukuta uzi kama huu,mi ni mwana Kilosa,nimesoma Mkondoa Promary 1989-1995,nna miaka mingi sana sijafika kilosa,juz nilipata taarifa za msiba wa Mtoto wa Abdallah Dogo kwa sms ,sijui ile namba ni ya nani,ila mdau Kilosa ni Miongon mwa wilaya Kongwe,ila wilaya iliyochoka sana,hivi naomba uniambie maana inaonesha kwa sasa upo Kilosa,hivi baraza la madiwan na mbunge (Mzee Mkulo) kweli wana mipango ya maendeleo kuhusu Kilosa,vile vile CAG kwa miaka kadhaa (sijui mwaka huu) huwa anaipa hati chafu wilaya yetu,,,kuna picha zilirushwa mitandaon zikionesha uwekaj wa lami barabara iendayo Bomani,hivi wazo hilo alitoa nani???na pia kilosa ni wailaya inayotoa vijana wengi wasomiwasomi,ila wapo nje ya wilaya ya kilosa nadhan si mbaya ukaanzishwa mtandao wa vijana wa kilosa walio nje ya wilaya ya Kilosa,napamiss kilosa,naimis mkwatani,Miombo(nilikua nakata mkaa),mto mkondoa nilikua naoga na kula miwa,muhomwa where i was living na kuangua maembe,kisak nilikua nalima na mama yangu na baba yangu (rip),kichangani nilikua nasoma tuition ya mwalim maringo(rip),mtenden nilikua naenda kununua kambale wa mboga usiku,hospital ambako nilipata huduma za afya kwa utoto wangu wote,magomen kule Lamlilo tulikua tunaenda kwenye michezo,uwanja wa azimio,uwanja wa ,mazinyungu,naikumbuka mkono wa mara ambako nilisoma 1 year,naskitika shule yangu Mkondoa ilizolewa na maji na haikujengwa tena,huenda BRN itaijenga
'KILOSA KWETU'

nimefurahia sana uzalendo wako kwa kilosa ingawa mimi siyo mwenyeji! big up
 
Back
Top Bottom