King sovero
Member
- Mar 12, 2013
- 35
- 2
nilisoma hapo kilosa miaka ya sabini katika shule moja ilikuwa ikiitwa Mazinyungu mwalimu kuu alikuwa akiitwa Mzee kilosa Je hii shule bado iko au ilishapandishwa daraja ???
hii shule bado ipo mkuu me nimemaliza pale 2008 chini ya mkuu Dungumaro ,lakn kuhusu mwalim kilosa cjui kama bado ni mzima coz alikuwa ni mzee xana ,na somo lake la MAARIFA YA JAMII....i wish kurudi kilosa next week