Updates from Kilosa district(taarifa kutoka wilayani Kilosa)

Lazima itakuwa mazinyungu primary. Yeap bado ipo. Isipokuwa kuna shule nyingine ya sekondari ya kutwa imeanzishwa palepale kiilosa inaitwa Mazinyungu pia. So we have Mazinyungu Secondary School pia. Unapaswa kutembelea shule yako ilimupate radha ya ulikopitia.

nilidokezwa kuwa kwa sasa kuna shule tatu hapo mazinyungu,Mkondoa P/School,Madaraka na Mazinyungu wenyewe,,,pia hii ni changamoto
 
hivi na siye tuliosomea shamba kule madoto enzi za mashamba ya mikonge hii mada inatuhusu au ni watu wa mjini tu? viva madoto primary 1980-1986!
 
hivi na siye tuliosomea shamba kule madoto enzi za mashamba ya mikonge hii mada inatuhusu au ni watu wa mjini tu? viva madoto primary 1980-1986!

mdau yote Kilosa ile,vibao vya shule vilikua vinaandikwa,
HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA,
HATA MAKUMULO(RIP) SI ALITOKEA UKANDA ULE AKAWA MBUNGE WA KILOSA KATI,,,NA MKULO ANATOKA UKANDA HUO WA KIMAMBA,AMBAYO IPO KARIBU NA MADOTO,,,
 
Kuna mambo yana staajabisha sana. Kilosa na Kimamba kwa jinsi zilivyo hazistahili ziwe zinachechemea. Pengine ni wakati muafaka wa kuangalia mambo kwa utofauti na kuanza kufanya mabadiliko.
 
Wengingine katika ajali hiyo ni Sultan(mdogo wake na Fadhiri). Yeye inasemekana amevunjika mbavu mbili na amepelekwa hospitali ya Muhimbili kwa matababu zaidi. Wote walikuwa ni watumishi wa Tanzania investment Bank ya jijini DSMReply-Report Post
Fadhiri yule wa radio jamii?
 
Nilishawahi kufanya kazi ktk wilaya yenu ya Kilosa,. Kiukweli maendeleo pale mtasubiri sana coz.....
1. Uchawi
2. Wazee wenu waliweka network za kuwapa nyadhifa nyeti sana watoto wao ambao hawajaenda hata shule. Hivyo wenye shule vigezo/taaluma wakija hapo wanapigwa majungu, wakikomaa wanarogwa. Hii imefanya pale bomani pawe kama mto wenye kambale, huwezi jua baba, mama, mtoto ni yupi.
Mfano tu!... zile kokoto zilizowekwa pale bomani na kule hospitali inadaiwa zimegharimu zaidi ya 300M.

Ushauri;. Washaurini wazee wenu wawatoe watoto wao wasokua na sifa kwenye vitengo mbalimbali pale.

Kaka hayo yapo kote tanzania. Niambie sehemu gani hayo hayapo. Mwanza,arusha,kigoma,kagera,ruvuma,ruskwa,singida,dodoma,kilimanjaro,katavi,mbeya,shinyanga,simiyu,manyara,lindi, mtwara,tabora,tanga etc. Wapi hayo hayapo?. Mara nyingi tukienda kufanya kazi kwenye mijinya wenzetu nasi husema hivyo ili kuonyesha kuwa kwetu kuna ustaarabu sana. Kwa bahati nzuri mimi nimeshamaliza mikoa yote ya tanzania hii. Hayo ya wenyeeji kupeana kazi ovyo ovyo yapo kote tanzania na si kilosa pekee. Na kuhusu uchawi hilo sio suala lamkilosa pekee, ni suala la dunia nzima. Hata kwenu wewe yapo, hayakwepeki. Kiufupi matendo yzko na kauli zako ndizo zinaongoza wengine na kukuambia fulani mchawi.

Inawezekana wewe ulienda nao ili uwajaribu,ukakurudi na sasa unawatuhumu. Wasiwasi wangu isijenkuwa wewe ni wale mlilkulanfedha za miradi ya maendeleo ya wilaya ya kilosa ambao baada ya kujulikana wengine mkaacha kazi wenyewe na wengine walihamishiwa magichoni. Usijali lakini, maisha ndivyo yalivyo. Tutayafanyia kazi kwa ajili yza maendeleo ya kilosa.
 
Kuna mambo yana staajabisha sana. Kilosa na Kimamba kwa jinsi zilivyo hazistahili ziwe zinachechemea. Pengine ni wakati muafaka wa kuangalia mambo kwa utofauti na kuanza kufanya mabadiliko.

Kuchelewa kwa sehemu hizo mnili kunasababishwa na poor geographical structure pamoja na poor infrustractures. Kitu kama barabara inachanyia kwa kiasi kikubwa sanz katika maendeleo ya sehemu yoyote ile duniani. Lindi na mtwara zilikuwa nyuma sana kimandeleo, lakini baada ya kupata barabar ya uhakika , lindi na mtwara sasa hivi hazishikiki. The same kwa ruvuma, wakati ule walipokuwa hawana barabara ya uhakika ilikuwa imecorora sana, sasa hivi wana barabar ya uhaakika mpka nantumbo. Sasa hivi mamno yao yako safi. Sumbawanga ambao walikuwa mabashindwa kuuza nafaka zao kutokana na ukosefu wa usafiri wauhakika, sasa hivi baada ya barabara ya kutokantunduma kwenda sumbawabga kuwekwa rami, bei za mazao yao na pia viwanja havishikiki. Na ndio maana mbunge wetu, mh Mkulo alitambua hilo na wakaona kuna haja ya kimamba na kilosa kupata barabara ya rami ili kubust maendeleonyanukanda huo. Kwa bahati nzuru, ujenzi wa barabara unakwenda vizuri japomkuna vhangamoto kadhaamzinazokwamisha. Lakinimtuna mategemeomkuwa kuna siku utakamilikamna maendeleomkutika kimamba na kilosa.
 
nilifanyia research yangu mwaka jana hapo kilosa, katika shule ya msingi mazinyungu na mkondoa pia shule fulani hivi unavuka gereza, na daraja kubwa kuelekea kule juu, watoto walinipa ushilikiano, nilibahatika kuishi kilosa kwa siku 3, sijui kama ipo siku nitapata bahati ya kuludi kilosa.. NITAPAMISS KILOSA IN ALL MY LIFE.
 
I miss Lamulilo so much (1985-1991). I miss Kilosa Day Secondary School (1992-1992). I miss the time is spent there (8years). Kilosa yenye viwanda, yenye vijito na utajiri wa kila aina. Lakini mara ya mwisho nilipokuja nilikuta Marehemu Kilosa. RIP Kilosa.
 
Infrastructure muhimu lami imefika huko? Last time I checked in Dumila Kimamba Mkata hadi Moro vumbi/tope.
 
I miss Lamulilo so much (1985-1991). I miss Kilosa Day Secondary School (1992-1992). I miss the time is spent there (8years). Kilosa yenye viwanda, yenye vijito na utajiri wa kila aina. Lakini mara ya mwisho nilipokuja nilikuta Marehemu Kilosa. RIP Kilosa.
Miaka hii kulikua na mchezaj mzur sana anaitwa KOBELO
 
nilifanyia research yangu mwaka jana hapo kilosa, katika shule ya msingi mazinyungu na mkondoa pia shule fulani hivi unavuka gereza, na daraja kubwa kuelekea kule juu, watoto walinipa ushilikiano, nilibahatika kuishi kilosa kwa siku 3, sijui kama ipo siku nitapata bahati ya kuludi kilosa.. NITAPAMISS KILOSA IN ALL MY LIFE.
Mkondoa ilisombwa na maji ikahamishiwa hapo MAZINYUNGU,ila hiyo ya kule gerezan nadhan ni MISUFINI
 
Mbunge wa Kilosa hazion changamoto eeenh???,

Mustapha Mkullo sidhani kama ana hamu ya ubunge tena ; kwani siku hizi yupo yupo tu!!! Kuna wakati nilisoma gazetini kuwa wananchi wake walikuwa wanamzomea kwani haonekani jimboni!!!
 
Back
Top Bottom