Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

Ni LAZIMA watekeleze na hayo mengine. Lakini pia ni LAZIMA watoe taarifa ya masaa 72 kabla ya mabadiliko yoyote kama Kanuni ya 5(5) ya Kanuni za Kielektroniki na Mawasiliano ya Posta GN No.61/2018 kuhusu kumlinda mlaji inavyotaka.

Lakini una elezwa kuwa airtel wameanza kufanya kazi, wewe una bisha na contract law wala hutaki kuelewa kuwa kuna kanuni sheria nk...
 
Kuna hoja ya makato ya HESLB. Tunakusihi mkuu kama inawezekana uende nayo yote kabisa.
 
kapitie kanuni kiongozi
 
Mkuu watoe taarifa ya kuwa muda wa kutumia kifurushi kwa mteja karibu unaisha ama? Sijaelewa hapo kwenye sheria.

Kampuni ya simu kuamua ku respond hiyo ni goodwill ama kuboresha mahusiano tu kwa wateja na ni kawaida as a competition strategy but not mandatory given the nature of bundle contracts.
 
Moderator huyu jamaa ni mjanjà mmoja anayejitangaza kiaina. Pia anaweza kuwa tapeli namba yake ya simu ya nini? Wadau muwe makini mjini hapa. Tunajua hali ngumu so watu wanakuja na ubunifu


 
Nimeelezea post # 84 not all sales agreements are equal

It depends on the offer, muuza chips biashara yake aina masharti ya kula na wala TANESCO awauzi vifurushi isipokuwa independent units.

Tumuombe huyu brother afike mahakamani, atatupa mrejesho.
Mkuu Kilatha unazungumziaje huu uamuzi wa Safaricom ya Kenya kuondoa ukomo wa vifurushi, mind you wamefanya hivyo huku kukiwa na kesi inaendelea mahakamani juu ya hilo.
Seems like it's possible mkuu, they (telecoms) just need a bit of pressure to do that......
"Baada ya SafaricomPLC ya Kenya kuondoa "ukomo wa vifurushi" vya muda wa maongezi na intaneti kwa wateja wake, naibu waziri wa Mawasiliano, Atashasta Nditiye ameelezea msimamo wa Serikali kuhusu vifurushi."
 
Imebidi kwanza nisome hiyo habari, Safaricom hawajashindwa kesi isipokuwa wao wamefanya as goodwill gesture to their customers kwenye kusherehekea 19 years.

Wawili wengine walioshitakiwa awajafuata huo mkumbo na hata hao safaricom bado wana expiry bundles it’s optional nina uhakika hizo zisizo na time limit aziwezi kuwa better deal kwa baadhi ya watu.

Na hata huko Ghana zuio sio kwa kushinda kesi bali limetolewa na serikari and this usually comes at the cost of those who benefited from such products.
 
So, u actually think all that happened had nothing to do with the on going cases in the courts?
Kilatha
 
So, u actually think all that happened had nothing to do with the on going cases in the courts?
Kilatha
Yes and No

Kwa mujibu wa shirika ni kwa sababu ya 19 years anniversary but then with the current case is this a coincidence? It might be as well due to the on going case.

Kingine sina details zote za kesi na nini safaricom walichofanya from the outlook ata hiyo data extension yenyewe utaendelea nayo pale ambapo utanunua bundle nyingine kabla ya uliyonayo aijaisha na yenye muda zaidi kuliko data zilizobaki.


That is according to their above sources like I said it appears to be a goodwill gesture makampuni mengi hufanya ivyo as a sales and competition strategy, also as a measure to improving customer relations.
 
Sio matangazo tu ni pamoja na kupigiwa simu. Unadjani kitu urgent kumbe halotel +901.......
 
Sio matangazo tu ni pamoja na kupigiwa simu. Unadjani kitu urgent kumbe halotel +901.......
Hilo tatizo ambalo TCRA inabidi waingilie wateja lazima wawe na haki ya kuamua jinsi gani kampuni inaweza wasiliana nao.
 
Huyu mwanasheria Yuko vizuri kusimama na public kuitetetea mi chadema na ACT imekenua meno tu kazi kuongelea vitu hewa tu visivyosaidia wananchi walio wengi afadhali wakili umesimama kutetea wananchi

nimefurahi michadema na mi ACT mingi imekatwa ugombea serikali za mitaa they are hopeless hawana agenda nzuri Kama za huyu wakili za kutetea wananchi
 
Sasa mbona wanaweza kubadilisha kifurushi wamavyotaka kama Halotel 10, 000 ilikuwa gb10 walipoona ngoma inogile elfu 10 hiyo sasa ni Gb 6. Na wanaweza shusha hata gb 5.

Ebu fafania hapo taf. Mi nadhani tuna hoja ya kulalamika
 
Na hizi SMS za ajabuajabu zenye mrengo wa matangazo ya biashara zitakoma mini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…