Upanuzi wa Barabara ya Morocco - Mwenge umelenga nini?

Ni waongo, iko sababu nyingine. Ule mradi kibao kinaonyesha kuwa ni upanuzi wa barabara ya Bagamoyo phase 2. Hakuna BRT pale wala maandalizi yake.
Kwani BRT siyo barabara? Kuweni serious na comment zenu hizi.
 
Morocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge Na kwenda kujazana Morocco.

Barabara ile ni heri ingejengwa barabara ya Nyerere kutoka Airport kuja Dar center, au barabara ya mandera kwenda bandarini.
Hayo ni maboresho ya miundombinu yanayoendelea jijini kwa msaada wa benki ya dunia
 
Mkuu wa kuheshimiwa mkuu sanaa, nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.ombi kwako mkuu tunatamani kuishi bagamoyo tafadhali tusaidie kujua ni wapi pazuri kuishi sehemu tofauti tofauti Bagamoyo tafadhali kama itakupendeza ifungulie uzi nawakilisha.
Asante
 
Mkuu wa kuheshimiwa mkuu sanaa, nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.ombi kwako mkuu tunatamani kuishi bagamoyo tafadhali tusaidie kujua ni wapi pazuri kuishi sehemu tofauti tofauti Bagamoyo tafadhali kama itakupendeza ifungulue uzi nawakikisha.
Asante
Umenipa heshima na jukumu zito .. Sehemu nzuri za kuishi bagamoyo zipo nyingi na ni zile ambazo wenyeji asili hawapo
Maeneo ya Mbegani ni the best kwangu
 
Morocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge Na kwenda kujazana Morocco.

Barabara ile ni heri ingejengwa barabara ya Nyerere kutoka Airport kuja Dar center, au barabara ya mandera kwenda bandarini.
Barabara ya mandela kwasisi tuliokula chumvi kidogo tuliijua kwa jina la poti exesi rodi na nyerere road ilikuwa pugu rodi
 
Hiki ni kitalu cha upigaji kama ilivyokuwa Barabara ya Sam Nujoma

Kipande hiki cha Morocco Mwenge hakizidi 5km lakini huu mwaka wa sita hakijamalizika japo barabara ni tambarale tena bila ya Madaraja

Ujenzi huu ulianza 2015 kwny sherehe za Uhuru Hayati Mwamba aliahirisha zile sherehe akataka fedha zijenge hiyo barabara, tangu hapo haijamalizika

Hapo mpaka wakandarasi wamalize Magorofa yao Bahari Beach kule ndio Mradi utaisha

Tena cha kushangaza Mradi huu ulianza bila ya upembuzi wala Plan, ile Mzee kusema tu kesho yake wakaanza kuingiza Ma Greda kuchimbua barabara ya zamani
 
Mi kinachonishangaza ni muda unaotumika kujenga kipande kifupi kama hicho.
Ikumbukwe sherehe za uhuru za mwaka 2015 zilifutwa na hela zake zikaigizwa kwenye ujenzi huo.
Tangu uhai wa rais wa 5, mpaka sasa barabara hiyo bado inajengwa!!
Wajuvi mtuambie, kuna nini cha ziada hapo mpaka inatumika miaka zaidi ya mitano sasa kujenga kipande kifupi kama hicho!?
Watanzania my wasahaulifu sana.
Ujenzi huu wa sasa unaofanyea na kampuni ya NIPPO toka Japan na MAC ya Tanzania ulianza katikati ya mwaka 2019.
 
Hiki ni kitalu cha upigaji kama ilivyokuwa Barabara ya Sam Nujoma

Kipande hiki cha Morocco Mwenge hakizidi 5km lakini huu mwaka wa sita hakijamalizika japo barabara ni tambarale tena bila ya Madaraja

Ujenzi huu ulianza 2015 kwny sherehe za Uhuru Hayati Mwamba aliahirisha zile sherehe akataka fedha zijenge hiyo barabara, tangu hapo haijamalizika

Hapo mpaka wakandarasi wamalize Magorofa yao Bahari Beach kule ndio Mradi utaisha

Tena cha kushangaza Mradi huu ulianza bila ya upembuzi wala Plan, ile Mzee kusema tu kesho yake wakaanza kuingiza Ma Greda kuchimbua barabara ya zamani
Usipozijua facts za miradi, mtu unaonekana kituko.
 
Mi kinachonishangaza ni muda unaotumika kujenga kipande kifupi kama hicho.
Ikumbukwe sherehe za uhuru za mwaka 2015 zilifutwa na hela zake zikaigizwa kwenye ujenzi huo.
Tangu uhai wa rais wa 5, mpaka sasa barabara hiyo bado inajengwa!!
Wajuvi mtuambie, kuna nini cha ziada hapo mpaka inatumika miaka zaidi ya mitano sasa kujenga kipande kifupi kama hicho!?
Ile Barabara inajengwa kwa msaada wa Wajapan
 
Kwani BRT siyo barabara? Kuweni serious na comment zenu hizi.
Upanuzi ule malengo yake sio BRT, kama lengo lingekuwa hilo lile daraja la juu LA waenda kwa miguu pale bondeni kuelekea tank bovu lisingejengwa vile. Lile daraja lazima ulivunje ili kujenga BRT, ujinga gani huu?
 
Hiki ni kitalu cha upigaji kama ilivyokuwa Barabara ya Sam Nujoma

Kipande hiki cha Morocco Mwenge hakizidi 5km lakini huu mwaka wa sita hakijamalizika japo barabara ni tambarale tena bila ya Madaraja

Ujenzi huu ulianza 2015 kwny sherehe za Uhuru Hayati Mwamba aliahirisha zile sherehe akataka fedha zijenge hiyo barabara, tangu hapo haijamalizika

Hapo mpaka wakandarasi wamalize Magorofa yao Bahari Beach kule ndio Mradi utaisha

Tena cha kushangaza Mradi huu ulianza bila ya upembuzi wala Plan, ile Mzee kusema tu kesho yake wakaanza kuingiza Ma Greda kuchimbua barabara ya zamani
Kuna dhambi kubwa inafanyika kwenye ujenzi huu, wafanyabiashara walioko kwenye njia hii hawafanyi biashara kwa miaka sita sasa baada ya maeneo yao kutoingilika kwa urahisi kwa magari, parking zao zimevurugwa bila sababu kwa miaka 6 sasa. Nilikuwa nikiweka mafuta pale Victoria petrol station sasa hivi nimehama, nilikuwa natumia BOA bank tawi LA Victoria sasa siendi pale tena, kuna biashara nyingi hazifanyi vizuri kando ya barabara ile kwa muda mrefu sasa kwaajili ya kuvurugwa kwa maegesho na njia za kuingia kwenye biashara zao kuzibwa.
 
Ni waongo, iko sababu nyingine. Ule mradi kibao kinaonyesha kuwa ni upanuzi wa barabara ya Bagamoyo phase 2. Hakuna BRT pale wala maandalizi yake.
Brt in mradi unaanzia bibi titi hadi tegeta na upo kwenye detail designs
 
Tangu wizara na serikali vihamie Dodoma hakuna foleni tena kwenda posta. Tupeleke fedha hizo vijijini yanakotoka mazao.
 
Back
Top Bottom